Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,526
- 235,267
Huu Uzi utakuwa hai mpaka pale agano litakapotimia,yes July ndo hii Sasa..term ya kutimiliza yote yaliyonenwa na kuandikwa kwamba hayana budi kutokea
Sis, usiniuze tafadhari, bado napenda ugali na pitiku. [emoji23][emoji23][emoji23]Coca yaani unasema sawa huku ukiendelea kuwacheka watu wa system
Lamomy umenishinda tabia 🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆
🤣🤣🤣Sis, usiniuze tafadhari, bado napenda ugali na pitiku. [emoji23][emoji23][emoji23]
🖕 Sawa shoga.Acha kushauri upumbavu.
Aaaah hivi mama mtumishi, sikukujibu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu ww coca ndo nn kuniuza ? Nikasubiri wee
Good things come in small packages and surprisesKila nikiingia jamii forum brake ya Kwanza kwenye huu Uzi. Yoga uko wapi Leo 2 July
Hahahahaha,hao ukiwaona, ujue kazi ipoJamani muende Chit chat basi daah!
😂😂😂wanapenda storyHahahahaha,hao ukiwaona, ujue kazi ipo
Wanakera sijui kama wanajua wanakera sehemu za kupigia story mbona zipo😂😂😂wanapenda story
Kwa kweli wakapige story panapostahili yani mtu unakuja speed unajua kuna cha maana kumbe story za kina NkamuWanakera sijui kama wanajua wanakera sehemu za kupigia story mbona zipo
We haya tuAaaah hivi mama mtumishi, sikukujibu?
Nakumbuka km nilisha clear mbona? Let's be serious bas.
Ngoja niangalie
Upo mamieMsisubiri basi airport👍