Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,100
- 41,718
Yes nikikwambia mfuatilie manaake nimejiridhisha, mi mtt wa The late Tbjoshua (😁 kwenye hili eneo)so sisikilizi Kila mtu ,ht km nilisikiliza km chai najua hapa chai 😂au km wale wakufuata upepo wenzao wamesema nn najua tu ...Sema nini mtu wa Mungu Tayana-wog
Mimi mtu akiwa ni mwenye kutabiri tabiri, kama amewahi kutabiri matukio mawili au matatu nyuma yake na yakatimia hapo naweza kumwamini na kumkubali.
Je huyo Edmund amewahi kutabiri kipi na kipi na kikatimia?
Natanguliza shukurani.
"Nyota ing'aayo kutokea brazili,ikazidi mwanga na kuwa kama jua na kuangaza" huyo ni Emmanuel nchimbi!!Sema nini mtu wa Mungu Tayana-wog
Mimi mtu akiwa ni mwenye kutabiri tabiri, kama amewahi kutabiri matukio mawili au matatu nyuma yake na yakatimia hapo naweza kumwamini na kumkubali.
Je huyo Edmund amewahi kutabiri kipi na kipi na kikatimia?
Natanguliza shukurani.
Swali la kizushi ? Kwann Waislamu ktk misikiti yao husikii neno UTABIRI wala MAONO /UFUNUO km wachungaji wa kilokole ? Maana TABIRI ZOTE ni zinahusisha Wakristo na Biblia...sijaona mtu akisema mstari fulani km Quran umesema hivi km utabiri au sheikh kaoneshwa ya mbele ?Poaaq
Read step two very carefully 🙏 and pray for kijana msema sanas company zaid ya hao umewamentionHapana yoga !not fine at all!!
Father kitima yupo Kwa hospital,even chuma in his regime no one dare touching those hollymen in their palace!!
Recently we burried kisiwa whitehouse spokesman!!
And some rumors the vice chairman of our kijani is seriously hospitalized in that region where many of them dont make it when hospitalized there!!!
Safe no more in our company!! maybe if you overlook those instincts!!
Mmh si mchezo..Read step two very carefully 🙏 and pray for kijana msema sanas company zaid ya hao umewamention
I repeat, yaani narudia Kwa kiswahili ili nieleweke
And remember these words na angalia what is coming
👉"All main leaders and important members of kijana msema sana company are going to be locked"
👉They think most of them must be dead! Especially kijana and his vice But since the 🌎 is watching them so they are looking for a friendly way 🙆 it's up to them
👉All assets of kijanasema sana's company soon will be seized
Note: for now they act as if they are united but soon someone is their target 🎯 just be patient and enjoy the game
Nenda tu YouTube mpendwa hahahaaa uone unabii ulivyotimilikaSema nini mtu wa Mungu Tayana-wog
Mimi mtu akiwa ni mwenye kutabiri tabiri, kama amewahi kutabiri matukio mawili au matatu nyuma yake na yakatimia hapo naweza kumwamini na kumkubali.
Je huyo Edmund amewahi kutabiri kipi na kipi na kikatimia?
Natanguliza shukurani.
Mimi mpaka kanisani nimehudhuria na nipo kwenye group lake la WhatsApp hakika Mungu anamtumia sana mafuta Yazidi kumiminika juu yake my prophetYes nikikwambia mfuatilie manaake nimejiridhisha, mi mtt wa The late Tbjoshua (😁 kwenye hili eneo)so sisikilizi Kila mtu ,ht km nilisikiliza km chai najua hapa chai 😂au km wale wakufuata upepo wenzao wamesema nn najua tu ...
Ila Mungu anao watu aisee Tena Hawana ht majina ila wako vzr sn.
Edmond nimemfuatilia last yr hata haya yaliyotokea na vurugu zote alisema ilikuwa last yr Dec km sikosei.
Ila huyu nimemfahamu recently 👇
View: https://youtu.be/VOSCbWeVf_w?si=wejWWYk7XXc1mPQC
Sawa mkuu kwa neno lako hawa wawili nitaanza kuwafuatilia.Yes nikikwambia mfuatilie manaake nimejiridhisha, mi mtt wa The late Tbjoshua (😁 kwenye hili eneo)so sisikilizi Kila mtu ,ht km nilisikiliza km chai najua hapa chai 😂au km wale wakufuata upepo wenzao wamesema nn najua tu ...
Ila Mungu anao watu aisee Tena Hawana ht majina ila wako vzr sn.
Edmond nimemfuatilia last yr hata haya yaliyotokea na vurugu zote alisema ilikuwa last yr Dec km sikosei.
Ila huyu nimemfahamu recently 👇
View: https://youtu.be/VOSCbWeVf_w?si=wejWWYk7XXc1mPQC
yoga,Read step two very carefully 🙏 and pray for kijana msema sanas company zaid ya hao umewamention
I repeat, yaani narudia Kwa kiswahili ili nieleweke
And remember these words na angalia what is coming
👉"All main leaders and important members of kijana msema sana company are going to be locked"
👉They think most of them must be dead! Especially kijana and his vice But since the 🌎 is watching them so they are looking for a friendly way 🙆 it's up to them
👉All assets of kijanasema sana's company soon will be seized
Note: for now they act as if they are united but soon someone is their target 🎯 just be patient and enjoy the game
Aliye mwelewa Yoga hapa anisaidie kuvunja code,Note: for now they act as if they are united but soon someone is their target 🎯 just be patient and enjoy the game
Kijani FC,dhidi ya kijana msema sana!!lakini target yao ipo kijani FC humo humo!yaani inaonekana move yao dhidi ya kijana msema sana ni comfort zone dhidi ya target yao Ili asishtuke waje ghafla bin vuuu done and dusted!!Aliye mwelewa Yoga hapa anisaidie kuvunja code,
Tafsiri isiyo rasmi,.
"Nb: kwa sasa wanaigiza wana umoja lakini hivi karibuni mmoja wao ni mkusudiwa"
Akina nani hao wanaoigiza umoja?
Aiseh"they act as they united but someone is their tagert" I can see!!Read step two very carefully 🙏 and pray for kijana msema sanas company zaid ya hao umewamention
I repeat, yaani narudia Kwa kiswahili ili nieleweke
And remember these words na angalia what is coming
👉"All main leaders and important members of kijana msema sana company are going to be locked"
👉They think most of them must be dead! Especially kijana and his vice But since the 🌎 is watching them so they are looking for a friendly way 🙆 it's up to them
👉All assets of kijanasema sana's company soon will be seized
Note: for now they act as if they are united but soon someone is their target 🎯 just be patient and enjoy the game
Mi sijui Quran nisiwe muongo ,zaidi ya kusikia humu sijui chochote, lkn walikuwa na shehe yahya mtabiri East Africa au umesahau?🙄na mwanae wa kiume ndo karithi...ya kwao ni utabiriSwali la kizushi ? Kwann Waislamu ktk misikiti yao husikii neno UTABIRI wala MAONO /UFUNUO km wachungaji wa kilokole ? Maana TABIRI ZOTE ni zinahusisha Wakristo na Biblia...sijaona mtu akisema mstari fulani km Quran umesema hivi km utabiri au sheikh kaoneshwa ya mbele ?
Edmond? Hivi yupo kimara sehem Gani kanisa lake?Mimi mpaka kanisani nimehudhuria na nipo kwenye group lake la WhatsApp hakika Mungu anamtumia sana mafuta Yazidi kumiminika juu yake my prophet
Nimemuona km mara 2 , wanasema aliongea issue ya magu ila mi sio kivileSawa mkuu kwa neno lako hawa wawili nitaanza kuwafuatilia.
Vipi una maoni gani kwa yule mwingine mwenye kutumia jina la Nabii wa Ishara Tanzania?
Ahsante kwa ufafanuziMi sijui Quran nisiwe muongo ,zaidi ya kusikia humu sijui chochote, lkn walikuwa na shehe yahya mtabiri East Africa au umesahau?🙄na mwanae wa kiume ndo karithi...ya kwao ni utabiri
Manabii Mungu aliwtumia sn Agano la kale ukisoma vzr ,na hata SS Mungu Bado anatumia sn watu wake, kwenye ukristo unabii ni ofisi! Yaani Yesu kabla hajaondoka aliacha huduma 5, wachungaji,mitume,wainjilisti,waalimu,manabii! Nadhani unaijua hii.so aihusiani na ulokole ni huduma km hizo nyingine hapo.
EFeso 4:11-14
Shida ni kuwa matapeli pia wengi
Kwenye matapeli hapo chacha,Mi sijui Quran nisiwe muongo ,zaidi ya kusikia humu sijui chochote, lkn walikuwa na shehe yahya mtabiri East Africa au umesahau?🙄na mwanae wa kiume ndo karithi...ya kwao ni utabiri
Manabii Mungu aliwtumia sn Agano la kale ukisoma vzr ,na hata SS Mungu Bado anatumia sn watu wake, kwenye ukristo unabii ni ofisi! Yaani Yesu kabla hajaondoka aliacha huduma 5, wachungaji,mitume,wainjilisti,waalimu,manabii! Nadhani unaijua hii.so aihusiani na ulokole ni huduma km hizo nyingine hapo.
EFeso 4:11-14
Shida ni kuwa matapeli pia wengi
Namuombea uzima,sijui mpaka sasa ndugu yangu Steven jacob kama anapumua!
Namuombea uzima,sijui mpaka sasa ndugu yangu Steven jacob kama anapumua!
Mwenyezimungu amsaidie huko alipo!!
Video vyingi YouTube zimefutwa hasa zile za unabii