MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 20,658
- 42,697
Jomba una stori za vijiweni sana. Hakuna state wala mamake state. Kila kitu kitaenda kama kilivyopangwa. Upinzani kushika dola sio leo wala kesho.Chawa wanamjaza mwenyekiti Hali ya kujiamini Ili apambane na andiko ambalo tayari lilishaandikwa!!
Hebu cheki no reform no election ilivyotushika pabaya!!yaani tumepanic sana!!huyo lisu tkimweka gerezani EU wanaitisha Bunge la kumjadili LISU na kumpa umaarufu mkubwa kuliko hata mwenyekiti!!Tukimuacha aendelee ndio hivyo atasababisha Chama kishindwe uchaguzi na kitumie mabavu na tukitumia mabavu kijasusi serikali inakua haram kama Ile ya chuma 2020 ambayo ilibidi turuke sarakasi Kwa COVID 19!!
Bahati mbaya sijui waliokaribu na mama wanamshauri Nini hasa wanapokaa pamoja!!
Nakumbuka Mimi nilimshauri kuliko kukaidi uandishi wa katiba Bora angeitisha Binge la katiba na mchakato uchukue muda mrefu Hadi uchaguzi na ukishafika achukue baadhi ya kanuni azitumie kuchaguliwa Tena huku akiahidi kumalizia term lijalo angalau angewachenga kidogo the state lakini alikiuka kukiuka kwake kumemfanya aingie kwenye mtego ambao hawezi chomoa!!!
MTEGO NDIO HUU"TUKIKUBALI REFORMS MAANA YAKE TUKUBALI KUPOTEZA SERIKALI IENDE UPINZANI,TUKIKATAA UCHAGUZI UNAKUA BATILI KIJASUSI NA THE STATE ITAPATA LEGITIMACY YA KUTUSHUGHULIKIA RASMI"
Nanukuu"uchaguzi wa serikali za mitaa usubiri Hadi katiba mpya"yaani uchaguzi wa 2024 ambao tayari umeshafanyika kinyume na matakwa ya "the state"!!
Refer maagizo Yao kwenye Uzi wa"operation imesitishwa the state wamesema apewe muda"!!
WA KWENDA DEEP WANANIELEWA NAMAANISHA NINI NIKISEMA "KUSHUGHULIKIWA RASMI"COZ WALISHATUONYA KWAMBA HAKUNA UCHAGUZI BILA KATIBA MPYA KUTOKANA NA YALIYOTOKEA 2019,2020!NA JUZI YA 2024 NI YALE YALE YA NYUMA!!
SASA TUNAFANYAJE!!?TUKAZE FUVU TUSHULIKIWE,TUKUBALI REFORMS TUPOTEZE SERIKALI IENDE UPINZANI!!!?
Naandika haya huku naumia sana coz nahisi mambo tusiyoyapenda yatatokea Tena,mambo ambayo yatatuhuzunisha sisi wanaccm wenye akili za kina warioba na Butiku!!
Hivi tukifuata maelekezo tutapungukiwa nini!!?
NAWAZA,NACHAMBUA ,NAFUATILIA MAANDIKO HUMU,NABASHIRI,NACHANGANUA KUTOKANA NA NIONAVYO!KAMA SIO SAWA NIPO TAYARI KUKOSOLEWA!!
MITANO TENA KWA MAMA,NAIMBA KAMA TULIVYOAMRIWA NA CHAMA TUIMBE HUKU TUKIACHA SPACE YA ASILI IAMUE HATMA!!
Jomba una stori za vijiweni sana. Hakuna state wala mamake state. Kila kitu kitaenda kama kilivyopangwa. Upinzani kushika dola sio leo wala kesho.
Acha kujidanganya ndugu. Mama Samia ndo rais wako hadi 2030 tuombe uzima. Hizo stori zenu za vijiweni ni kupoteza muda.Sijaandika upinzani utashika au haushiki!nilichoandika ni kuwa mama samiah sio chaguo la the state kushika Tena Bali ni chaguo la chawa wa mama !!!!
Hilo lipo wazi!!
Hata Mimi najua hivyo kabisa japo wale jamaa wanasema eti "pale st.peters Bado wapo conservatives ambao wanataka Hali iendelee kubaki hivi hivi kwa kuwalinda wakubwa Kwa katiba iliyopo,watashughulikiwa kimya kimya baada ya muda hawatokuwepo"!!Acha kujidanganya ndugu. Mama Samia ndo rais wako hadi 2030 tuombe uzima. Hizo stori zenu za vijiweni ni kupoteza muda.
Wanaelewa yajayo ,wanajua kaz imeisha kinachofanyika ni ukamilifu tuLengo la desert mission ilikua kumuingiza mtegoni mwenyekiti coz ukimkamata Lisu mtego ukimuacha uraiani aendelee mtego na lazima uta react,Sasa wamesha react na tayari mtego umezidi kuwanasa na hamna namna lazima wafanye uovu zaidi kunusurru kiti kisiende kwa wenyewe wenye mamlaka ziadi yao!
Hadi hapa tulipofika ni karibu na mwisho wa ukamilifu wa mission!!
Jaribu kufuatilia maonyo ya huduma ya kristo ya Jacob Steven Gumbo!utaona kilele Cha desert mission na sio kingine Bali ni kile alicho andika Britannica kiganda"Kukuba Amanda"lazima avae manda proof za kutosha zisije zikapenya!!
Nawaza,Na connect dots,nafanya analysis Wala niandikayo hayana uhalisia Bali speculations TU kutokana na upepo unavyovuma!!
Ukweli ni kuwa hatakuwa Tena km unavyodhani! Na watu hamtaamini, tutarudi hapaAcha kujidanganya ndugu. Mama Samia ndo rais wako hadi 2030 tuombe uzima. Hizo stori zenu za vijiweni ni kupoteza muda.
Watu wanawaza system,sijui nnHata Mimi najua hivyo kabisa japo wale jamaa wanasema eti "pale st.peters Bado wapo conservatives ambao wanataka Hali iendelee kubaki hivi hivi kwa kuwalinda wakubwa Kwa katiba iliyopo,watashughulikiwa kimya kimya baada ya muda hawatokuwepo"!!
Wanakosea!!?we unaonaje ni porojo tu kama porojo!!?
Mi najua ilianza jamuhuri ya Tanganyika,ikaja jamuhuri ya muungano wa Tanzania halafu ccm ikaja baadae 1977 na wenyeviti wake wanabadilika Kila muda baada ya miaka 5 au 10,we unaamini mwenyekiti mmoja anaweza ku outsmart majasusi yote ya Tanganyika,Tanzania na walioianzisha ccm!!?
Kama mwanachama lazima nisikilize maoni ya waanzilishi wa CCM kina warioba na Butiku The Mwalim Nyerere foundations bila kukosa na wao wanaamini hatuwezi ingia kwenye uchaguzi bila reforms ambazo sisi hatutaki!!
October Bado ni mbali tukae mezani!!
Unaombea nn mkuu?Naendelea na maombi ya kufunga siku 21
Km we mfuatiliaji basi fuatilia pia pastor kabugumira,na Edmund mysticLengo la desert mission ilikua kumuingiza mtegoni mwenyekiti coz ukimkamata Lisu mtego ukimuacha uraiani aendelee mtego na lazima uta react,Sasa wamesha react na tayari mtego umezidi kuwanasa na hamna namna lazima wafanye uovu zaidi kunusurru kiti kisiende kwa wenyewe wenye mamlaka ziadi yao!
Hadi hapa tulipofika ni karibu na mwisho wa ukamilifu wa mission!!
Jaribu kufuatilia maonyo ya huduma ya kristo ya Jacob Steven Gumbo!utaona kilele Cha desert mission na sio kingine Bali ni kile alicho andika Britannica kiganda"Kukuba Amanda"lazima avae manda proof za kutosha zisije zikapenya!!
Nawaza,Na connect dots,nafanya analysis Wala niandikayo hayana uhalisia Bali speculations TU kutokana na upepo unavyovuma!!
Endelea kujifariji na stori za vijiweni.Hata Mimi najua hivyo kabisa japo wale jamaa wanasema eti "pale st.peters Bado wapo conservatives ambao wanataka Hali iendelee kubaki hivi hivi kwa kuwalinda wakubwa Kwa katiba iliyopo,watashughulikiwa kimya kimya baada ya muda hawatokuwepo"!!
Wanakosea!!?we unaonaje ni porojo tu kama porojo!!?
Mi najua ilianza jamuhuri ya Tanganyika,ikaja jamuhuri ya muungano wa Tanzania halafu ccm ikaja baadae 1977 na wenyeviti wake wanabadilika Kila muda baada ya miaka 5 au 10,we unaamini mwenyekiti mmoja anaweza ku outsmart majasusi yote ya Tanganyika,Tanzania na walioianzisha ccm!!?
Kama mwanachama lazima nisikilize maoni ya waanzilishi wa CCM kina warioba na Butiku The Mwalim Nyerere foundations bila kukosa na wao wanaamini hatuwezi ingia kwenye uchaguzi bila reforms ambazo sisi hatutaki!!
October Bado ni mbali tukae mezani!!
Taifa kwanza mambo ya kiti kuachia pitia chama chochote badae, kiti kipo kwa mamlaka ya wananchi, na ndo maana reforms muhimu ili wananchi rudishiwa mamlaka hayo ambayo yamepokwa kutoka kwao, wanachagua embe wanawekewa jiwe hii haikubaliki.Mkuu,Tulipewa muda Hadi 2022 mchankato wa katiba mpya uwe umeanza,akaambiwa ateue wabunge was kimkakati Ili kukamilisha mpangokazi,Sasa basi tukapuuza Hadi mwezi was Saba 2023 wale jamaa wakachoka kusubiri wakaja na uzi mwingine"usaliti wa jemedari wa marekani"wakasisitiza plan ya mwanzo inarudi na ndio hio desert mission yaani mission nchi kavu ya huku Tanganyika inayoendelea nadhani ilianza na uchaguzi wa mwenyekiti wa chadema halfu No reform no election ambayo imetuharibia zaidi hadi nje ya nchi !!
Sasa kama tukikubali reforms inamaana tukubali kuachia kiti coz report ya wale jamaa inaonyesha Bado watu hawana Imani na mwenyekiti!!na tukikataa ndio hayo yaendelee!!
Nawaza,nafikiria,nachambua maandishi labda ni hivyo Sina uhakika wa mambo hayo!!
Sijui June 27 au 28Watu wanawaza system,sijui nn
Jmn nyakati na majira vimebadirika ,mjue kuzisoma
This time sio bness as usual.
Nje ya mada, sorry,hivi bunge linaisha lini?
Ok thanks.Sijui June 27 au 28
Nipe ufafanuzi mkuu ikiwezekana inboxOk thanks.
Haya majira ni mengine kabisa , subirini muone
Yaan unalazimisha sasa.Acha kujidanganya ndugu. Mama Samia ndo rais wako hadi 2030 tuombe uzima. Hizo stori zenu za vijiweni ni kupoteza muda.
Mnalazimisha ndoto zenu za mchana ila hazitafanikiwa. Hakuna haja ya kuumiza kichwa wakati inajulikana Mama Samia ndo Rais hadi 2030.Yaan unalazimisha sasa.
Hiyo ndio shida yenu nyie watu. Weka hoja kwa nini awe rais hadi 2025 wakati kazi zake kila mtanzania anaziona. Sio kulazimisha. Hiyo ndio huwapelekea mhalalishe haramu alizosema Nape. Njia zenu zile.
Weka hoja kwa nini ashinde na sio kulazimisha.
Kwa kifupi ahabu hatakiwi kuendelea na muhula ,sio wa kwake!Nipe ufafanuzi mkuu ikiwezekana inbox
Sisi hatulazimishi!tunasoma,tunachambua na ku predict possiblities tunazoona!!Mnalazimisha ndoto zenu za mchana ila hazitafanikiwa. Hakuna haja ya kuumiza kichwa wakati inajulikana Mama Samia ndo Rais hadi 2030.
Tunasema au Mungu anasema SSH hata akiwa pale miaka mia sawa tu, cha msingi wananchi wamemuweka kwa haki na usawa tokana na kura za wajiri wake ambao ni wananchi.Acha kujidanganya ndugu. Mama Samia ndo rais wako hadi 2030 tuombe uzima. Hizo stori zenu za vijiweni ni kupoteza muda.
Siwezi poteza muda kuandika porojo za vijiweni kama unavyofanya.Njoo na wewe na uchambuzi wako kwanini unasema TU "mitano tena Kwa mama"hasta