No vibrant private sector no middle income consumers,kwanza tunaogopa nyumba za gorofaHuu mwaka ni very possible,
Na mkimaliza hizo gorofa mko na zingine mnajenga?
Na how comes all your tall buildings are built by the government?
Hapo ni kwa gvt parastatals,how abt private sector au nayo umekatazwa kujenga high rise buildings? Tzn yote tall buildings ni gvt owned,why simple answer watu ni poor including the ones polluting jf hereZilikua priority za mifuko ya kijamii kuwekeza kwenye nyumba ndefu back then, nowadays gov is stressing more on infrastructures ,some ar now investing in sugar industries and others Hii ni kulingana na sera zinavyobadilika
Kwa sasa the economy is struggling no single building is catching anymore,ndo kusema by 2025 the whole sprwaling dar is slum will remain with her 5 towers Sasa Nairobi itakuwa haina wa kushindana,Hata Addis itakuwa imepigwa chiniYeah mmekuwa na boom ya highrise buildings.
But your street plannings hazinifurahishi. Government should work on those city roads
Hayo hayakuhusu wewe kama nyang'au pita wimaHapo ni kwa gvt parastatals,how abt private sector au nayo umekatazwa kujenga high rise buildings? Tzn yote tall buildings ni gvt owned,why simple answer watu ni poor including the ones polluting jf here
💉💉💉💉😬😬😬😬Hayo hayakuhusu wewe kama nyang'au pita wima
Ukiwaunaongea thinkKwa sasa the economy is struggling no single building is catching anymore,ndo kusema by 2025 the whole sprwaling dar is slum will remain with her 5 towers Sasa Nairobi itakuwa haina wa kushindana,Hata Addis itakuwa imepigwa chini
The building is ok but spire is 60M alone which doesn't make any sense to what you r saying...Monstous 200 metre Britam tower giving nairobi a NewYork feel at night.
The building is ok but spire is 60M alone which doesn't make any sense to what you r saying...
Ndio maana katika list ya nyumba ndefu zingine hazihusishi nyumba zenye spire just get you r facts rightBritam tower will remain the tallest ,in books of history with its 200 metre record whether you like it or not.If CTBUH RECORDED the same who are you to dispute facts.
Wa tz hatuna shida sema awa gayz ndo shidaHii vita ya wakenya na waTz bana.
why are you saying this is a twin tower while it's clearly one building?Mnf 30×2 flr Hii nyumba ni kama imshakamilika tu,kutakua na 5*hotel yenye rooms 256 hapa ukumbi wa mikutano na fekeche zingine kadhaa...niambie ni hotel gani Nairobi kubwa yenye floor 30 ?
Kama hakuna basi hii ndio the tallest in east & central Africa. ..View attachment 1122701View attachment 1122697
Kama wako juu battle za kila siku za nn.sisi atutaki ku competate tunajua wako juu kinacho wawasha nini izi dalili za kina dadaAki tuongee tu ukweli. Mi ni mtz but naendaga mara kwa mara nbo as Kuna manzi yangu pale embakasi. Ni confess kimiundo mbinu nai wametuacha compared to dsm. Fly overs akati sie tuna moja tu ya mfugale but nai ziko zingi tuu ukipita uhuru road utaziona. Lambda terminal III ikifunguliwa ndio tutaweza compete na jomokenyata int airport.
Kifupi tu mashemeji mko juu ki miundombinu.
Nikwel unaweza kua na macho na usione...why are you saying this is a twin tower while it's clearly one building?
'Inakaa" ni kiswahili cha Kenya japo sio sanifu, ni cha mtaa tu. "Inakaa" ina maana sawa na "inafanana". Natumai next time ukisikia Mkenya akisema "inakaa", hutashangaa sana.Jifunze kuandika vizur imekaa ndio kitu gani? Pili Ni wivu tu unakusumbua hakuna kingine
Tukienzi kiswahili ,hasa uko S.A. mtaenda kuwafunza vipi wasiofaham ilo lugha'Inakaa" ni kiswahili cha Kenya japo sio sanifu, ni cha mtaa tu. "Inakaa" ina maana sawa na "inafanana". Natumai next time ukisikia Mkenya akisema "inakaa", hutashangaa sana.
Kuna Wakenya ambao wamekisoma kiswahili hadi chuo kikuu na wanaongea kiswahili sanifu na wanakifahamu pengine kushinda mtanzania wa kawaida kama wewe. Msomi wa lugha kutoka Kenya anaweza linganishwa tu na msomi wa lugha kutoka T.Z. Tofautisha wasomi wa kiswahili na Wakenya wa kawaida ambao wengine hawakienzi lugha letu takatifu.Tukienzi kiswahili ,hasa uko S.A. mtaenda kuwafunza vipi wasiofaham ilo lugha