Dare if you can. This is the tallest building in East and Central Africa kissing the sky.

ankol

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
1,409
2,000
Aki tuongee tu ukweli. Mi ni mtz but naendaga mara kwa mara nbo as Kuna manzi yangu pale embakasi. Ni confess kimiundo mbinu nai wametuacha compared to dsm. Fly overs akati sie tuna moja tu ya mfugale but nai ziko zingi tuu ukipita uhuru road utaziona. Lambda terminal III ikifunguliwa ndio tutaweza compete na jomokenyata int airport.
Kifupi tu mashemeji mko juu ki miundombinu.
 
ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
5,421
2,000
Zilikua priority za mifuko ya kijamii kuwekeza kwenye nyumba ndefu back then, nowadays gov is stressing more on infrastructures ,some ar now investing in sugar industries and others Hii ni kulingana na sera zinavyobadilika
Hapo ni kwa gvt parastatals,how abt private sector au nayo umekatazwa kujenga high rise buildings? Tzn yote tall buildings ni gvt owned,why simple answer watu ni poor including the ones polluting jf here
 
ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
5,421
2,000
Yeah mmekuwa na boom ya highrise buildings.
But your street plannings hazinifurahishi. Government should work on those city roads
Kwa sasa the economy is struggling no single building is catching anymore,ndo kusema by 2025 the whole sprwaling dar is slum will remain with her 5 towers Sasa Nairobi itakuwa haina wa kushindana,Hata Addis itakuwa imepigwa chini
 
tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
14,523
2,000
Hapo ni kwa gvt parastatals,how abt private sector au nayo umekatazwa kujenga high rise buildings? Tzn yote tall buildings ni gvt owned,why simple answer watu ni poor including the ones polluting jf here
Hayo hayakuhusu wewe kama nyang'au pita wima
 
kimani Mibwi

Senior Member
Mar 27, 2019
185
250
Monstous 200 metre Britam tower giving nairobi a NewYork feel at night.
D8MaRI0WsAAiJ3m.jpg:large
 
tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
14,523
2,000
Kwa sasa the economy is struggling no single building is catching anymore,ndo kusema by 2025 the whole sprwaling dar is slum will remain with her 5 towers Sasa Nairobi itakuwa haina wa kushindana,Hata Addis itakuwa imepigwa chini
Ukiwaunaongea think
towers are erected as usual, this big city does not depends on gov for the big buildings only,sky towers which is to-let with 22flrs as you can see it from this angle
tapatalk_1552485745915.jpeg
 
tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
14,523
2,000
Britam tower will remain the tallest ,in books of history with its 200 metre record whether you like it or not.If CTBUH RECORDED the same who are you to dispute facts.
Ndio maana katika list ya nyumba ndefu zingine hazihusishi nyumba zenye spire just get you r facts right
 
Chief Sam

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
2,010
2,000
Aki tuongee tu ukweli. Mi ni mtz but naendaga mara kwa mara nbo as Kuna manzi yangu pale embakasi. Ni confess kimiundo mbinu nai wametuacha compared to dsm. Fly overs akati sie tuna moja tu ya mfugale but nai ziko zingi tuu ukipita uhuru road utaziona. Lambda terminal III ikifunguliwa ndio tutaweza compete na jomokenyata int airport.
Kifupi tu mashemeji mko juu ki miundombinu.
Kama wako juu battle za kila siku za nn.sisi atutaki ku competate tunajua wako juu kinacho wawasha nini izi dalili za kina dada
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
12,695
2,000
Jifunze kuandika vizur imekaa ndio kitu gani? Pili Ni wivu tu unakusumbua hakuna kingine
'Inakaa" ni kiswahili cha Kenya japo sio sanifu, ni cha mtaa tu. "Inakaa" ina maana sawa na "inafanana". Natumai next time ukisikia Mkenya akisema "inakaa", hutashangaa sana.
 
tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
14,523
2,000
'Inakaa" ni kiswahili cha Kenya japo sio sanifu, ni cha mtaa tu. "Inakaa" ina maana sawa na "inafanana". Natumai next time ukisikia Mkenya akisema "inakaa", hutashangaa sana.
Tukienzi kiswahili ,hasa uko S.A. mtaenda kuwafunza vipi wasiofaham ilo lugha
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
12,695
2,000
Tukienzi kiswahili ,hasa uko S.A. mtaenda kuwafunza vipi wasiofaham ilo lugha
Kuna Wakenya ambao wamekisoma kiswahili hadi chuo kikuu na wanaongea kiswahili sanifu na wanakifahamu pengine kushinda mtanzania wa kawaida kama wewe. Msomi wa lugha kutoka Kenya anaweza linganishwa tu na msomi wa lugha kutoka T.Z. Tofautisha wasomi wa kiswahili na Wakenya wa kawaida ambao wengine hawakienzi lugha letu takatifu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom