Watanzania mna maneno kweli.Nafaka upo vizuri katika uhandishi wa habari. Ebu tumia kipaji chako iki.
Pili, Darasa ni mmoja ya best musician waliowahi kutokea Tanzania. Alipotea ila naona anaanza kurudi. Yote 9 kumi jamaa akubali kwamba alitumia Poda.
Yeye alisema hakuwa anatumia poda alikuwa anafanya mambo yake na anajifanya jinsi ya kumanage mziki wake. Anasema alikuwa akilea mimba na anadai mpaka mkewe anajifungua zile hustle na usumbufu wa mtoto since day one alikuwa naye bega kwa bega anaishi naye. Pia akasema hadi F.A alimfuata nyumbani baada ya kusikia jamaa eti anatumia poda, alimkuta anaendela na maisha yake hadi akashangaa na akamuuliza kwanini hajitokezi kupinga hizo allegation?Nafaka upo vizuri katika uhandishi wa habari. Ebu tumia kipaji chako iki.
Pili, Darasa ni mmoja ya best musician waliowahi kutokea Tanzania. Alipotea ila naona anaanza kurudi. Yote 9 kumi jamaa akubali kwamba alitumia Poda.
Aisee sijawahi mkubari Zembwela ila salama ni King wa interview.Kwanza Uzuri wa Salama akikuhoji anakupa nafasi ya kujieleza hakukatishi pia maswali yake yapo direct na haya uchochezi muhojiwa unajikuta tu umeshafunguka vitu kwa usahihi na utulivu..
Salama Jabir ndo king wa interview hapa bonge yeye anaweza hoji mwana siasa anawezamuhoji mtu yeyote bila kuona upungufu kwa sababu kwanza ana data nyingi na anafanya research kabla hajauliza.
Niliangalia interview ya John Heche wakati anahojiwa na Zembwele kioindi cha Goodmorning kiukweli yule Mzee hamna kitu maswali hata anavyouliza uswahili uswahili mwingi anaingilia sana maongezi na fujo zisizokua na maana hata kipindi kile cha asubuhi Salma Dakota aliwahi mwambia atulie sio anataka kuongea yeye tu bila kusikilizana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalau Lil Ommy angekuwa kwenye level za salama ila jamaa unyamwezi mwingi twingereza twa hapa na pale ndo huwa zinaharibu interview zake.Salama Jabir ni gifted and talented sijaona mtu wa kumkuta huyo bibie katika kumfanyia mtu interview hapa bongo, Natamani apanue wigo na upande wa Siasa na Biashara pia ahoji Moguls na Politicians mimi sio fan kiivo wa entertainment ila huyo dada namfatilia sana
Aisee sijawahi mkubari zembwela ila salama ni King wa interview