Nyoshi Al Sadat anashangaza sana

jojipoji koromije

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
991
1,412
1695421783028.png

Nipo hapa makumbusho anapiga show na band yake ya Bogos Musica!! Kuna wazungu wamejaa hapo mbele then anawapongeza wazungu kwa kucheza mziki wake then anasema “nyie waswahili mmekaa tu hata hamchezi wakati wazungu wanacheza, ngoja tuwapigie nyimbo zenu waswahili!!”

Huyu jamaa nahisi kashiba na kuvimbiwa uhuru wa kufanya mziki Bongo!! Huyu kasahau kabisa wakati yuko na FM Academia jinsi watu walivyokuwa wakijaa na kucheza mziki wa FM academia tena yeye akiwa Kiongozi!

Anashindwa kujua hajafikia levels za FM academia na kuishia kututukana sisi “Wachache” tuliojitokeza kuona ana jipya gani!!? Tena kwa gharama zetu!

Tuna Choma mafuta muda ! Mamaae! Kwa matusi haya nathibitisha sitohudhuria show yake labda aombe msamaha. Kama vp aende Ulaya akapige mziki wazungu watahudhuria kila siku.

Kaongea utumbo sana leo!! Tunamheshimu sana ila kwa dharau hizi basi Mamlaka imruhusu akajaribu maisha Kinshasa!! Si ndo nyumbani kwao!! Eeh!!basi aende.
 
Nipo hapa makumbusho anapiga show na band yake ya Bogos Musica!! Kuna wazungu wamejaa hapo mbele then anawapongeza wazungu kwa kucheza mziki wake then anasema “nyie waswahili mmekaa tu hata hamchezi wakati wazungu wanacheza, ngoja tuwapigie nyimbo zenu waswahili!!” Huyu jamaa nahisi kashiba na kuvimbiwa uhuru wa kufanya mziki Bongo!! Huyu kasahau kabisa wakati yuko na FM Academia jinsi watu walivyokuwa wakijaa na kucheza mziki wa FM academia tena yeye akiwa Kiongozi!! Anashindwa kujua hajafikia levels za FM academia na kuishia kututukana sisi “Wachache” tuliojitokeza kuona ana jipya gani!!? Tena kwa gharama zetu!! Tuna Choma mafuta muda !! Mamaae!! Kwa matusi haya nathibitisha sitohudhuria show yake labda aombe msamaha. Kama vp aende Ulaya akapige mziki wazungu watahudhuria kila siku. Kaongea utumbo sana leo!! Tunamheshimu sana ila kwa dharau hizi basi Mamlaka imruhusu akajaribu maisha Kinshasa!! Si ndo nyumbani kwao!! Eeh!!basi aende.
Kumchukia nyoshi na kumchukulia serious ni kujichosha.
Mimi ananichekesha tu na kiswahili chake. Yeye na TID ndio watu ambao hawawezi kunikera
 
Nipo hapa makumbusho anapiga show na band yake ya Bogos Musica!! Kuna wazungu wamejaa hapo mbele then anawapongeza wazungu kwa kucheza mziki wake then anasema “nyie waswahili mmekaa tu hata hamchezi wakati wazungu wanacheza, ngoja tuwapigie nyimbo zenu waswahili!!” Huyu jamaa nahisi kashiba na kuvimbiwa uhuru wa kufanya mziki Bongo!! Huyu kasahau kabisa wakati yuko na FM Academia jinsi watu walivyokuwa wakijaa na kucheza mziki wa FM academia tena yeye akiwa Kiongozi!! Anashindwa kujua hajafikia levels za FM academia na kuishia kututukana sisi “Wachache” tuliojitokeza kuona ana jipya gani!!? Tena kwa gharama zetu!! Tuna Choma mafuta muda !! Mamaae!! Kwa matusi haya nathibitisha sitohudhuria show yake labda aombe msamaha. Kama vp aende Ulaya akapige mziki wazungu watahudhuria kila siku. Kaongea utumbo sana leo!! Tunamheshimu sana ila kwa dharau hizi basi Mamlaka imruhusu akajaribu maisha Kinshasa!! Si ndo nyumbani kwao!! Eeh!!basi aende.
Pumzika kwanza... makumbusho bar/lounge gani
 
Nyoshi nampenda sana sababu ni mkweli, hajui kupindisha maneno. Kama mkorogo anaopaka tu anasema na kuuonesha itakuwa kuwasema nyie? Sasa kama wazungu wanacheza kwanini nyie hamchezi?

Kawachamba mkome na unafiki wenu wa kibongo. Eti mmeenda kumuangalia ana jipya gani, kawakomesha!
 
Back
Top Bottom