Darasa la Satelite installation

Kufunga madish ni rahisi kama kumeza mate, nitakupa mfano wa DSTV ile ukiipatia mguu wake tu haina shida kabisa kutafuta frequency.

Dish ambalo kidogo lina changamoto katika kutafuta frequency ni Continental tu.
Sjafundishwa na yeyote kufunga ni talent tu ambayo niko nayo toka nikiwa grade 7!
 
Si rahisi Kama unavyodhani , jaribu ku hunt Nile sat , uone mziki wake , DStv mnazionea sababu satellite footprints zipo kwenye radius yetu
 
Kwangu mimi ni rahisi kushinda hata ninavyo zungumza kiswahili nina uzoefu wa miaka 13!

Nilesat huwa inakupa tabu wapi wewe na huwa unatumia dish la aina gani?
 
Hbr Wana jamvi!

Natamani Sana kujua kufunga madishi nimejaribu kutafuta wapi wanafundisha hii kozi kwa dar lakini bado sijapata, kwahiyo naomba anaejua wanapofundisha anielekeze au Kama Kuna fundi umu anifundishe mi nitamlipa.
Ukowap mkuu?
 
Kwangu mimi ni rahisi kushinda hata ninavyo zungumza kiswahili nina uzoefu wa miaka 13!

Nilesat huwa inakupa tabu wapi wewe na huwa unatumia dish la aina gani?
Ku band dish 120cm, mna miezi Kama 5 CNN ina scratch labda unipe ushauri nifanyeje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom