mimi sioni kama kuna tatizo kumteua darasa la 7 kuwa mkuu wa wilaya.kwani ukuu wa wilaya ni kazi?!ni kijiwe cha fadhila tu..sioni kama mkuu wa wilaya ana kazi ya kufanya zaidi ya kumpelekea mkulu uongo.hata mtu akimaliza darasa la pili bado ataumudu ukuu wa wilaya barabara!sioni kama kuna tatizo hapo! Huenda akafanya vizuri kuliko ambao ni graduates.
Hatukawii kuambiwa ni darasa la saba la zamani!
Mbona mgombea umakamu wa Rais kwa tiketi ya Chadema mwaka 2010 alikuwa darasa la saba?.
.
"MADARAKA HUMBADILISHA MTU, YAPATE KWANZA NDIPO TUJUE TABIA YAKO".
Mkuu ubunge kulingana na katiba ya sasa darasa la saba wanaruhusiwa kugombea. Profesa majimarefu ni mfano tu! Labda kwenye katiba mpya tufanye marekebisho!mhe. kanyunyu una hakika na ulichokiandika? bw. maneno alikuwa mbunge wa jimbo la chalinze katika bunge lililopita na minimum qualification ya ubunge ni elimu ya kidato cha nne, ni vipi angeukwaa ubunge bila kuwa na elimu hiyo. kumbuka huyu aligombea na omary madega kwenye kura za maoni ndani ya ccm mwaka 2005 ambaye kwa vyovyote asingenyamaza angemlipua tu maneno kama kweli ni darasa la saba. bunge lililopita mbunge pekee aliyefahamika kutokuwa na elimu ya kidato cha nne ni samwel chitalilo aliyekuwa mbunge wa buchosa. wapiga kura walimfungulia kesi ya kudanganya kuhusu elimu yake lakini kwasababu ambazo hazijulikani kesi hiyo haikufanikiwa.
Hivi hawa wasomi wetu tunaojitapa nao wamelisaidiaje Taifa letu?
Ndugu wana jamii katika kile kinachoonekana kulipana fadhila ndani ya serikali hii, aliyekuwa mbunge wa chalinze 2005-2010 RAMADHANI A MANENO, alishindwa vibaya kwenye kura za maoni mwaka 2010 baada ya kuwadanganya wapiga kura wake kwamba angejiendeleza kielimu,na hakufanya hivyo, mpaka anateuliwa mkuu wa wilaya ya KIGOMA elimu yake ni DARASA LA SABA_____________TAFAKARI.

Huyu jamaa alimaliza degree ya social works mwaka 2010 pale chuo cha ustawi. Tuandike vitu baada ya kufanya utafiti. Sio kila mtu aliyeteuliwa hana uwezo. Au ulitaka uteukiwe wewe.
Ndugu wana jamii katika kile kinachoonekana kulipana fadhila ndani ya serikali hii, aliyekuwa mbunge wa chalinze 2005-2010 RAMADHANI A MANENO, alishindwa vibaya kwenye kura za maoni mwaka 2010 baada ya kuwadanganya wapiga kura wake kwamba angejiendeleza kielimu,na hakufanya hivyo, mpaka anateuliwa mkuu wa wilaya ya KIGOMA elimu yake ni DARASA LA SABA_____________TAFAKARI.
mhe. kanyunyu una hakika na ulichokiandika? bw. maneno alikuwa mbunge wa jimbo la chalinze katika bunge lililopita na minimum qualification ya ubunge ni elimu ya kidato cha nne, ni vipi angeukwaa ubunge bila kuwa na elimu hiyo. kumbuka huyu aligombea na omary madega kwenye kura za maoni ndani ya ccm mwaka 2005 ambaye kwa vyovyote asingenyamaza angemlipua tu maneno kama kweli ni darasa la saba. bunge lililopita mbunge pekee aliyefahamika kutokuwa na elimu ya kidato cha nne ni samwel chitalilo aliyekuwa mbunge wa buchosa. wapiga kura walimfungulia kesi ya kudanganya kuhusu elimu yake lakini kwasababu ambazo hazijulikani kesi hiyo haikufanikiwa.
Lumuli Alipipi Kasyupa Mbunge wa Kyela alikuwa na masters ya kilimo toka UK;Livingstone Mwakipesile aliyekuja baadae alikuwa na Masters ya uchumi toka UK;Mbunge wetu wa sasa Dr Mwakyembe yeye ni PhD holder toka Germany;mbona lkn hawajatusadia lolote wapiga kura Kyela kutuhamasishia maendeleo zaidi ya wao wenyewe na familia zao kuishi maisha ya raha?
Kwanza tuone wasomi wetu wanatukwamua vipi kwenye umaskini ndipo tuwatenge darasa la 7!Wakati Mzee Moringe Sokoine anateuliwa kuwa PM kwa mara ya kwanza alikuwa na elimu gani?Kuna PM bora anayethubutu hata kumfikia Sokoine na usomi woa akina Pinda?
Hatukawii kuambiwa ni darasa la saba la zamani!