Psiteshio72
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 634
- 442
Simu aina gani, nikusaidie mara moja,Simu inasema unfortunalty android
Na pili inasema unfortunately kwa apps zipi???Simu inasema unfortunalty android
And gate + roid tizama icon yao utafahamu zaid kama umesoma electronicsandroid ni nini? bila shaka utasema ni mfumo endeshi na blah blah nyinginezo.
nataka kujua maana ya neno lenyewe ANDROID.
Nina frustrationandroid ni nini? bila shaka utasema ni mfumo endeshi na blah blah nyinginezo.
nataka kujua maana ya neno lenyewe ANDROID.
mkuu sijasoma mambo hayo na ile icon yao huwa naiona kama maroboti ya kwenda anga za mbali naomba ufafanuzi zaidiAnd gate + roid tizama icon yao utafahamu zaid kama umesoma electronics
Unaclick tu hapo kwenye Allow umemamilizaMkuu simu yangu inasumbua nikitaka kupakia picha inaniandikia kama ifuatavyo "Allow Gallery to Access Photos,Media and file on your Denice,Halafu kwa chini kuna maneno Deny_Allow"Msaada wako plz,ni Tecno W2
Msamehe Tuuu Ndio Vijana Wetu Wa Siku Iz Hawaumejiunga jumatatu unakuja kudanganya watu na kiblog chako uchwara!!!
dogo kuwa makini humu unaweza kupakatwa na tunaweza kukiangusha hicho kiblog chako muda wowote endelea kubwabwaja tu.View attachment 647636
Nimeclick Allow imeandika kama ifuatavyo "Screen Overlay detectedUnaclick tu hapo kwenye Allow umemamiliza
Haijizimi Mara kwa Mara?TECNO W4 ina matangazo mengi mpaka kero