Darasa kwa Kubenea na Wabunge wengine

Darasa kwa Kubenea na Wabunge wengine

Hakuna darasa hapo!!! Kuwa kiongozi aina maana wewe ni mungu mtu. makonda hakufuata sheria. Huwezi kumweka mtu ndani eti kw vile umebishana naye!!! Tuko tofauti lazima tutofautiane mawazo. Tutabishana mwisho aliye sahihi hushinda. kubishana ni "healthy". asiyetaka kubishiwa ni dictator!!! Enzi hizo zimeisha!!!! Kubenea hajavunja sheria yoyote.
Tuna mihimili mikuu mitatu kiuongozi kwa mujibu wa Katiba ya JMT. Utawala, Mahakama na Bunge.

Muh. Rais ndiye kiongozi mkuu wa utawala. Vilevile ndiye msimamizi mkuu wa mahakama na bunge. Jaji mkuu na Spika wako chini yake. Kimkoa na kiwilaya, Rais anawakilishwa na Wakuu wa Mikoa pamoja na Wakuu wa Wilaya.

Wakuu Wa wilaya, wakuu Wa mikoa hata ulaya na marekani wapo. Japo majina (title) yanatofautiana, lkn majukumu yao ni kumuwakilisha rais. wabunge kote duniani siyo viongozi Wa kiutendaji (executive).

Nchi zote zina executive, judiciary na legislature. Katika kila nchi executive (Rais na wasaidizi wake) ndiyo watekelezaji Wa sheria kiuongozi. Marekani magavana (tuwaite wakuu Wa mikoa na wilaya) wana nguvu sana kiutendaji.

Licha ya kubenea kuwa mbunge alipaswa kumheshimu Mkuu Wa wilaya Bila kubishana nae hadharani au kumtukana. Alimuita mhuni na kibaka hadharani.

Makonda ili kuhifadhi ushahidi, aliamua kuteka video camera ya startv ili ushahidi Wa matusi aliotukanwa usifutwe.

Jiweke ktk nafasi ya makonda. Rais Wa wilaya kutukanwa hadharani. Ikumbukwe kuwa makonda alikua ameahidi kumpeleka waziri kiwandani Leo.

Kiprotokali baada ya makonda kuongea na wafanyakazi, kubenea hakua na haki ya kutaka kuongea baada ya DC. DC aliogopa kuwa maneno ya kubenea yanaweza chafua hali ya hewa ambayo ilikua imetulia.

Makonda kwa nafasi yake ni mwenyekiti Wa ulinzi na usalama katika wilaya anayoiongoza. Pangetokea vifo pale kiwandani angelaumiwa Mkuu Wa wilaya. Kubenea anapaswa kulijua hili.

Tabia ya kijeuri ya kubenea aliionesha siku ya kufungua bunge alipomuomba Kange lugola kufuta maneno yake. Alitumia lugha ya kibabe sana bila ulazima. Siku hiyo ndiyo nilibaini kuwa kubenea ana uwezo mdogo wa kujenga hoja. Ni nadra kwake kutumia busara na hekima. Kubenea ajue kuwa kinga anayo bungeni (legislature) siyo uraiani (executive) kwa akina makonda.

Kubenea alikua na dhamira ya kuwatetea wafanyakazi Wa kiwanda lkn njia aliyoitumia ya jazba na ubabe haikuwa sahihi. Mwl Nyerere aliwahi kuwaambia wanafunzi Wa UDSM walioandamana kuwa "The objectives you have are genuine but the methods you used to achieve your objectives are improper, thus, tarnishing everything".

Tuweke siasa kando. Tuseme ukweli. Katiba ya 1977 ndiyo ituongoze hata kama INA mapungufu. Sheria ni msumeno
 
Asante Kwa kuwaelewesha.
 
Hakuna darasa hapo!!! Kuwa kiongozi aina maana wewe ni mungu mtu. makonda hakufuata sheria. Huwezi kumweka mtu ndani eti kw vile umebishana naye!!! Tuko tofauti lazima tutofautiane mawazo. Tutabishana mwisho aliye sahihi hushinda. kubishana ni "healthy". asiyetaka kubishiwa ni dictator!!! Enzi hizo zimeisha!!!! Kubenea hajavunja sheria yoyote.

Tofautisha kati ya kubishana na kutukana. Kubenea alikua anatukana habishani
 
Wee acha tu, JF imejaa vilaza mpaka inatia huruma, eti huko Marekani Obama ndiye huteua Magavana!

Huyo kilaza hajasikia maseneta na wabunge wa Marekani wanavyomtukana Obama hadi kumuita mjinga.

Polisi wa Marekani hawezi kuamriwa hata na Obama mwenyewe kumkamata mwakilishi wa watu, ni hapa Bongo tu.

Huko Uingereza ndiyo usiseme, mkuu wa serikali ni kama ruga ruga wa wawakilishi, yeye ndiye huweza kukamatwa
na kushtakiwa kwa amri ya wawakilishi.

JF mods, mbona mmeiachia jamvi letu kushuka kiasi hiki? Je na nyie Makonda kawafunga gavana kiutendaji?

Baada ya kumkosoa akajaribu ku edit post yake.....Makonda ni agent wa Masaburi
 
Nyumbu watabaki kuwa nyumbu tu. Hongera mkuu, labda sasa wataelewa.
 
Wabunge wanapaswa kuheshimu muhimili mingine ya na sio kujiona wao ndio kila kitu, vurugu zao ni ndani ya bunge huku nje wafate sheria na taratoibu za nchi
nje ya bunge ni utawala ukileta kiburi na dharau tupa lupango. ubunge sio gazeti mwanahalisi ni uwakilishi. sasa kimbelembele unaingilia kazi za watu na kuleta matusi..weeeeh!!!
 
Mi nimejifunza kitu kimoja, mtu akijua kuongeeeeeea sio kwamba ndio atakua good leader, Some people are born to be a leader while others are created, na hapo ndipo panapo changanya. Maaan Kubenea yy tayar kaftk pale na kachoose side, na wakat kiongoz hutakiw kuwa na sides hta km unafaham nani anakosa, na zaid sio katika kipindi km kile ambacho wananchi wanafanya fujo!! Kuwa kiongoz, busara ni muhim, na hapo nasikitika kukwambia Mbunge wangu busara huna.
Angalizo la mwisho, Mh, tunaomba wabunge wapewe crash program, kuhusiana na Leadership, maaan ni aibu, mbungeee unamtukana mkuuu wa wilaya wakat unaishi ktk wilaya yake?!!!!Seriously Kubenea??!??! Umenivunja moyo!!!!
 
Gavana wa marekani hafanani na mkuu wa wilaya hata kidogo..acha upuuzi ndugu yangu
 
Tuna mihimili mikuu mitatu kiuongozi kwa mujibu wa Katiba ya JMT. Utawala, Mahakama na Bunge.

Muh. Rais ndiye kiongozi mkuu wa utawala. Vilevile ndiye msimamizi mkuu wa mahakama na bunge. Jaji mkuu na Spika wako chini yake. Kimkoa na kiwilaya, Rais anawakilishwa na Wakuu wa Mikoa pamoja na Wakuu wa Wilaya.

Wakuu Wa wilaya, wakuu Wa mikoa hata ulaya na marekani wapo. Japo majina (title) yanatofautiana, lkn majukumu yao ni kumuwakilisha rais. wabunge kote duniani siyo viongozi Wa kiutendaji (executive).

Nchi zote zina executive, judiciary na legislature. Katika kila nchi executive (Rais na wasaidizi wake) ndiyo watekelezaji Wa sheria kiuongozi. Marekani magavana (tuwaite wakuu Wa mikoa na wilaya) wana nguvu sana kiutendaji.

Licha ya Kubenea kuwa mbunge alipaswa kumheshimu Mkuu Wa wilaya Bila kubishana nae hadharani au kumtukana. Alimuita mhuni na kibaka hadharani.

Makonda ili kuhifadhi ushahidi, aliamua kuteka video camera ya star TV ili ushahidi Wa matusi aliotukanwa usifutwe.

Jiweke katika nafasi ya Makonda. Rais Wa wilaya kutukanwa hadharani. Ikumbukwe kuwa Makonda alikua ameahidi kumpeleka waziri kiwandani Leo.

Kiprotokali baada ya Makonda kuongea na wafanyakazi, Kubenea hakua na haki ya kutaka kuongea baada ya DC. DC aliogopa kuwa maneno ya Kubenea yanaweza chafua hali ya hewa ambayo ilikua imetulia.

Makonda kwa nafasi yake ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama katika wilaya anayoiongoza. Pangetokea vifo pale kiwandani angelaumiwa Mkuu Wa wilaya. Kubenea anapaswa kulijua hili.

Tabia ya kijeuri ya Kubenea aliionesha siku ya kufungua bunge alipomuomba Kange Lugola kufuta maneno yake. Alitumia lugha ya kibabe sana bila ulazima. Siku hiyo ndiyo nilibaini kuwa Kubenea ana uwezo mdogo wa kujenga hoja. Ni nadra kwake kutumia busara na hekima. Kubenea ajue kuwa kinga anayo bungeni (legislature) siyo uraiani (executive) kwa akina Makonda.

Kubenea alikua na dhamira ya kuwatetea wafanyakazi Wa kiwanda lakini njia aliyoitumia ya jazba na ubabe haikuwa sahihi. Mwl Nyerere aliwahi kuwaambia wanafunzi Wa UDSM walioandamana kuwa "The objectives you have are genuine but the methods you used to achieve your objectives are improper, thus, tarnishing everything".

Tuweke siasa kando. Tuseme ukweli. Katiba ya 1977 ndiyo ituongoze hata kama INA mapungufu. Sheria ni msumeno.

Kwa jinsi ninavyimjua Makonda ni lazima kuna jambo la kipuuzi atakuwa amelifanya hadi kumuudhi Kubenea.Unajua Makonda is nobody ktk nchi hii,amshukuru Kikwete kwa kumbeba.Kubenea anafahamika kwa kalamu yake iliyofichua ufisadi mwingi ndani ya nchi hii,sasa kumwona nobody like Makonda trying to steal a show through his wicked tricks as he always does really drove him mad.Makonda is just a nobody and will always be.
 
Comrade mwongozo junior, nimesoma aya ya kwanza tu na nikaghairi kuendelea maana imebeba hitimisho lililojaa makosa na upotofu. Inasema "
Muh. Rais ndiye kiongozi mkuu wa utawala. Vilevile ndiye msimamizi mkuu wa mahakama na bunge. Jaji mkuu na Spika wako chini yake. Kimkoa na kiwilaya, Rais anawakilishwa na Wakuu wa Mikoa pamoja na Wakuu wa Wilaya."

Kwa mujibu wa katiba na sharia zetu, Rais hayuko juu ya Mahakama wala Bunge. Na kimsingi bunge is the Supreme organ of the government as it can put into question the decisions, actions and practice of the other two organs and if needs be change or enact the law to control them.
 
Last edited by a moderator:
Kubwnea ni mpuuzi mmoja ambae anepanda juu ya mgogo wa mageuzi na kupata ubunge,hana anachojua na wala hatawasaidia lolote wananchi wa ubungo na ifikapo 2020 watampiga chini
 
Workers are striking. Anything bad would have happened. Makonda tried to calm the workers by promising to go the following day with the minister concerned. Suddenly, kubenea forces to speak too while the situation has been cooled down. The DC saw him as a setback towards the restored peace. He denied him a chance to talk, something which kubenea denied. Badly, he started insulting, abusing and humiliating the DC before his subjects. Had u been makonda, what wld have u done?

Think wisely!
If I have authority I will not be afraid, I will let him speak!
 
Comrade mwongozo junior, nimesoma aya ya kwanza tu na nikaghairi kuendelea maana imebeba hitimisho lililojaa makosa na upotofu. Inasema "
Muh. Rais ndiye kiongozi mkuu wa utawala. Vilevile ndiye msimamizi mkuu wa mahakama na bunge. Jaji mkuu na Spika wako chini yake. Kimkoa na kiwilaya, Rais anawakilishwa na Wakuu wa Mikoa pamoja na Wakuu wa Wilaya."

Kwa mujibu wa katiba na sharia zetu, Rais hayuko juu ya Mahakama wala Bunge. Na kimsingi bunge is the Supreme organ of the government as it can put into question the decisions, actions and practice of the other two organs and if needs be change or enact the law to control them.

Sijasema kuwa rais Yuko Juu ya mahakama na bunge. Nimetumia neno msimamizi. Japo tuna bunge na mahakama, dhamana ya uendeshaji nchi kiutendaji imepewa executive ambaye n Rais na wasaidizi wake.
 
Last edited by a moderator:
Wee acha tu, JF imejaa vilaza mpaka inatia huruma, eti huko Marekani Obama ndiye huteua Magavana!

Huyo kilaza hajasikia maseneta na wabunge wa Marekani wanavyomtukana Obama hadi kumuita mjinga.

Polisi wa Marekani hawezi kuamriwa hata na Obama mwenyewe kumkamata mwakilishi wa watu, ni hapa Bongo tu.

Huko Uingereza ndiyo usiseme, mkuu wa serikali ni kama ruga ruga wa wawakilishi, yeye ndiye huweza kukamatwa
na kushtakiwa kwa amri ya wawakilishi.

JF mods, mbona mmeiachia jamvi letu kushuka kiasi hiki? Je na nyie Makonda kawafunga gavana kiutendaji?

umemjibu sawa sawa.
 
Back
Top Bottom