Darasa kwa Kubenea na Wabunge wengine

Darasa kwa Kubenea na Wabunge wengine

Huyu Kubenea ni mtu bogus ambae sijapata kuona mfano wake, hajui kuongea vizuri, hana maadili, ana kiburi hata domo lake limepinda kwa ujeuri.

Huyu si wakuchekewa kabisa.
 
kubenea amepata somo in a hard way ! alidhani akiwa mbunge basi ndio atakuwa juu ya sheria ,au ataitisha vikao anavyotaka yeye ,,, mi natamani apate kifungo hata cha mwezi liwe somo kwa wabunge wote wapya ...

mukangara na jk wamemshindwa kubenea ndio aweze makonda !
 
Chama kinapojengwa kwenye misingi ya matusi shida yake ndiyo hiyo. Kama mtu akiwa Mbunge ndipo afikiri amenunua cheti cha kutukana wenzake hadharani basi akili yake itakuwa na hitilafu. Ametukana LIVE bila chenga halafu anakataa, hii ni aina nyingine ya kufa dhamiri.
 
Umeandika point mkuu, lazima ifike mahali serikali ieshimiwe sasa kuna kenge wanataka mkuu wa wilaya ajichekeshe tu baada ya kutukanwa hadharani.

Hiyo haikubariki hata kama Kubenea anadhani ilikuwa ni haki yake lakini mipaka ya mkuu wa wilaya aiheshimu na akikaidi na kutoa Lugha za kudharirisha atafikishwa mahakamani tu.

= haikubaliki
= kudhalilisha
 
Wakati Kubenea anamtukana Dr Slaa baada ya kuachana na chama chake alikuwa anafanya mazoezi. Sasa kwa Makonda ndipo huenda ameanza kufanyia kazi mazoezi.
 
Kwa hili la Kubenea,ni kwamba bado anasaka jambo litakalomuingiza kwenye ramani lakini asifanye hivyo,atadharaulika kubenea
 
Ahsante Mleta Mada Ila Nina Imani Itakuwa Ngumu Kwa Nyumbu Kukuelewa!
 
Wakuu wa mikoa RC na wa wilaya DC kama kibaka Paul Makonda ni vibaka tu.
 
Kwanza MTU km kubenea amepata ubunge kwa 7bu ya ushabiki wa watu wa ubungo na kujihakikishia ushindi wa kiti cha Urais,that's why tunasena ukawa is a model to be a Nyumbu In tanzania.
 
Tuna mihimili mikuu mitatu kiuongozi kwa mujibu wa Katiba ya JMT. Utawala, Mahakama na Bunge.

Muh. Rais ndiye kiongozi mkuu wa utawala. Vilevile ndiye msimamizi mkuu wa mahakama na bunge. Jaji mkuu na Spika wako chini yake. Kimkoa na kiwilaya, Rais anawakilishwa na Wakuu wa Mikoa pamoja na Wakuu wa Wilaya.

Wakuu Wa wilaya, wakuu Wa mikoa hata ulaya na marekani wapo. wabunge kote duniani siyo viongozi Wa kiutendaji (executive).

Nchi zote zina executive, judiciary na legislature. Katika kila nchi executive (Rais na wasaidizi wake) ndiyo watekelezaji Wa sheria kiuongozi. Marekani magavana (tuwaite wakuu Wa mikoa na wilaya) wana nguvu sana kiutendaji.

Licha ya kubenea kuwa mbunge alipaswa kumheshimu Mkuu Wa wilaya Bila kubishana nae hadharani au kumtukana. Alimuita mhuni na kibaka hadharani.

Makonda ili kuhifadhi ushahidi, aliamua kuteka video camera ya startv ili ushahidi Wa matusi aliotukanwa usifutwe.

Jiweke ktk nafasi ya makonda. Rais Wa wilaya kutukanwa hadharani. Ikumbukwe kuwa makonda alikua ameahidi kumpeleka waziri kiwandani Leo.

Kiprotokali baada ya makonda kuongea na wafanyakazi, kubenea hakua na haki ya kutaka kuongea baada ya DC. DC aliogopa kuwa maneno ya kubenea yanaweza chafua hali ya hewa ambayo ilikua imetulia.

Tabia ya kijeuri ya kubenea aliionesha siku ya kufungua bunge alipomuomba Kange lugola kufuta maneno yke. Alitumia lugha ya kibabe sana Bila ulazima. Kubenea ajue kuwa kinga anayo bungeni siyo uraiani (executive) kwa akina makonda.

Tuweke siasa kando. Tuseme ukweli. Katiba ya 1977 ndiyo ituongoze hata kama INA mapungufu. Sheria n msumeno

kubenea ni malaya wa siasa

mwizi wa wazi ambaye aliitunza familia yake kwa miaka 8 gazeti lake liliandika habari za lowassa

ilifikia mudamwanahalisi lisipoandika habari za ufisadi wa lowassa, gazeti haliuziki

ghafla akabadili tune na kumuung mkono lowassa, akakana maandiko yake na kusema mwakyembe alikuwa na report ingine ya pili

watu wa aina hii walioko CDM na CCM ndio watanzanie wengi mnawashabikia na kuwapa kichwa
 
Pumba tupu!!

Mchele ni upi au kupiga deki barabara!!! Yaliyoko kwenye mada ndo msingi wa ubinadamu - kuishi kwa kufuata sheria bila shurti. Wabunge wahuni kama Kubenea hawawezi kuleta maendeleo katika jimbo zaidi ya kueneza uchochezi tu.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=311131&stc=1&d=1450203462
Tatizo; you don't use a public office for personal interest! Why did he arrest him? Would he arest anybody that abuses other? Kuitwa kibaka, mbona hata yeye alimwita Lowasa fisadi?
 
Tatizo; you don't use a public office for personal interest! Why did he arrest him? Would he arest anybody that abuses other? Kuitwa kibaka, mbona hata yeye alimwita Lowasa fisadi?

Workers are striking. Anything bad would have happened. Makonda tried to calm the workers by promising to go the following day with the minister concerned. Suddenly, kubenea forces to speak too while the situation has been cooled down. The DC saw him as a setback towards the restored peace. He denied him a chance to talk, something which kubenea denied. Badly, he started insulting, abusing and humiliating the DC before his subjects. Had u been makonda, what wld have u done?

Think wisely!
 
Mh, unakuwa mtunga sheria, kisha sheria huijui, unajiita Mbunge au unaitwa Mbunge!!!!!!!
SIELEWI UNAPATA UBUNGE, NN MAANA YAKE???
 
Magavana wa majimbo ya marekani si wateuliwa wa rais, wanachaguliwa kama wabunge na wana nguvu kubwa sana kama ulivyosema. Acha kupotosha watu.
 
Workers are striking. Anything bad would have happened. Makonda tried to calm the workers by promising to go the following day with the minister concerned. Suddenly, kubenea forces to speak too while the situation has been cooled down. The DC saw him as a setback towards the restored peace. He denied him a chance to talk, something which kubenea denied. Badly, he started insulting, abusing and humiliating the DC before his subjects. Had u been makonda, what wld have u done?

Think wisely!

Naona hueleweki umeamua kutumia kingereza ueleweke.....
 
Workers are striking. Anything bad would have happened. Makonda tried to calm the workers by promising to go the following day with the minister concerned. Suddenly, kubenea forces to speak too while the situation has been cooled down. The DC saw him as a setback towards the restored peace. He denied him a chance to talk, something which kubenea denied. Badly, he started insulting, abusing and humiliating the DC before his subjects. Had u been makonda, what wld have u done?

Think wisely!
You are missing the point.Kubenea has a right to talk to his voters.Wa all know that Mr.Makonda is a self centered attention seaker and he did not want to share the spot light with the Kubenea.I think a wise DC would a find a better way of working with an elected MP regardless of their political ideologies.
 
Back
Top Bottom