Darasa huru: Masturbation kwa mwanaume na mwanamke

Darasa huru: Masturbation kwa mwanaume na mwanamke

Basi wafungwa wote watakuwa hawana hiyo kemikali..au shule za boys.

Maana huko sio tu wanapiga nyeto Bali kuna kauli mbiu kabisa inaitwa "nyeto Mwana nyetuka"
 
Basi wafungwa wote watakuwa hawana hiyo kemikali..au shule za boys.

Maana huko sio tu wanapiga nyeto Bali kuna kauli mbiu kabisa inaitwa "nyeto Mwana nyetuka"
Hapana mkuu mwili wa binadamu una takrbani 100 bn neurons na zinazotumika na dopamine ni 20000 tu.Hvyo damage yake ni ya mda mrefu ikiwa itafanyika kwa mda mrefu.mf.kua na hasira za haraka,msongo wa mawazo,maumivu ya mgongo nk.lkn pia huzalishwa kila baada ya muda tatizo linakuja pale utumikaji ni mkubwa kuliko uzalishaji.
 
Wasalaaam wana jukwaa.

Ikiwa hali ya hewa inaruhusu nimeguswa kuleta somo fupi juu ya tatizo hili ambalo limekua la kiulimwengu sasa(global).

MASTURBATION ni nini hasa?

Hiki ni kitendo chochote akifanyacho mtu wa kike au kiume kuchochea ( stimulate) viungo vyake vya uzazi kufikia mshindo(orgasm).

KWANINI NI SHIDA KUACHA JAPO MADHARA YANAFAHAMIKA?

Kwenye mfumo wa neva kuna kemikali inayotolewa ijulikanayo kama DOPAMINE.Kemikali hii ndio huchochea brain rewards na pleasure centers( nimekosa kiswahili sanifu hapa).Hila ndo inahusika na vitu vinavyoupa ubongo hisia kali aidha za utamu, hasira au chuki.
Kemikali hii ndio inampa mtu hamu ya kucheza game kila wakati,kufanya kazi kwa bidii( motivation) n.k.
Sasa basi mtu akiwa ana masturbate kiwango kikubwa cha dopamine huzalishwa na kupata hisia kali za furaha.Wataalam wanasema ni sawa na morphine (200%)au tofauti kidgo na cocaine(250 -400%).hvo upata pleasure katika kiwango cha juu.

NINI MADHARA YAKE?

Ikiwa itafanyika kwa mda mrefu mhusika atakua anapoteza kiwango kikubwa cha dopamine.Hivo atakua na uwezo mdogo wa kukumbka,poor linear reasoning, kukosa motivation,mood swings, social anxiety ,kupoteza kujiamini ,nguvu za kiume (wanaume)nk.

MSAADA.
kwa kua ni suala la kisaikolojia mhusika anapaswa kufanya zoezi maalum(Nofap challenge).Linatakiwa kufanyika kati ya siku 30-90.Zoezi linahusika na kutoangalia porn(main stimulator) ,pia kukataa saut ya kwanza inayokushawishi kutenda (silaha kuu).Ni vyema ukaacha sasa kabla ujatumia kiwango cha dopamine nyingi na hvo maisha yako furaha yake kutegemea masturbation pekee na kushindwa kufurahia uasili wa ulimwengu.Wengi tulipita huko na tumeacha.
INAWEZEKANA,AMUA SASA,WAKATI NI HUU.
Mwisho.
Mkuu kabla hujafika huko ungeshauri watu kuacha visababishi kwanza.Kisababishi kinachotuharibu wengi Ni porn Mkuu....porn imeteka wengi si single wala married yan Ni balaa tupu....shauri khs Hili kwanza namna ya kuliacha yan Ni shida.Na ukitaka kujua hilo Fanya research ya kuchukua simu ya MTU yeyote(smartphone) kisha Nenda kwenye history...utachoka,yan hakuna kijana,mzee,wanawake wanaume...yan Ni shida.
 
sawa mkuu na kwenye hitimisho nimeongelea kitu hiki.Nikipata mda nitakuja na mada kuhusu porn na madhara yake
 
Wakuu mkishindwa kuacha kucheki porno basi mlipie internet security software ambayo ita block site yoyote inayohusiana na hayo mazaga
 
Mkuu kabla hujafika huko ungeshauri watu kuacha visababishi kwanza.Kisababishi kinachotuharibu wengi Ni porn Mkuu....porn imeteka wengi si single wala married yan Ni balaa tupu....shauri khs Hili kwanza namna ya kuliacha yan Ni shida.Na ukitaka kujua hilo Fanya research ya kuchukua simu ya MTU yeyote(smartphone) kisha Nenda kwenye history...utachoka,yan hakuna kijana,mzee,wanawake wanaume...yan Ni shida.
Mi cna porn hat moja kwenye sim yangu na wala cwez weka.
 
Wakuu mkishindwa kuacha kucheki porno basi mlipie internet security software ambayo ita block site yoyote inayohusiana na hayo mazaga
Ukiweka hiyo hamu ikija lazima ukanunue CD
 
Back
Top Bottom