Hili ni kati ya matatizo makubwa kwa vijana wetu.
Chamsingi ni kuji'control.
Usikubali kuwa mtumwa wa mwili wako.
Pamoja na kuacha kuangalia picha na video za ngono, epuka kujipapasa sehemu za siri, wataalamu wanasema hii inachangia pia kwa kiasi kikubwa kwani inaamsha hisia.
Kikubwa mtu uamue kuacha, ongoza ubongo wako.
Wataalamu wanasema "the first sexual organ is (your) brain.
Ukiweza kui'control kila kitu kitakuwa sawa.
Zaidi na kubwa kuliko yote, hii ni dhambi (kwa wale tunaomwamini Mungu) so ishinde kwa msaada wa Mungu kupitia sala.