daraja lao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

daraja lao

Discussion in 'Jamii Photos' started by NDINDA, Jul 3, 2011.

 1. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,450
  Likes Received: 3,655
  Trophy Points: 280
  [h=2]WHEN WILL WE REACH THEM: CHINA’S JIAOZHOU BAY BRIDGE…!!!Posted by Blog Team on July 1st, 2011[/h][​IMG]
  A sign that reads: “Shandong Highway Corp. invests to operate Shandong Highway Jiaozhou Bay Bridge” is seen at Qingdao Jiaozhou Bay Bridge in Qingdao, Shandong province June 27, 2011.The world’s longest sea bridge spanning Jiaozhou Bay of Qingdao City, Shandong Province, opened on Thursday, June 30, 2011. The bridge is 42 km (26 miles) long, Xinhua News Agency reported. Picture taken June 27, 2011. [​IMG]A band plays during the opening ceremony of the Qingdao Jiaozhou Bay Bridge in Qingdao, Shandong province June 30, 2011.The world’s longest sea bridge spanning Jiaozhou Bay of Qingdao City, Shandong Province, opened on Thursday. The bridge is 42 km (26 miles) long, Xinhua News Agency reported.[​IMG]Qingdao Jiaozhou Bay Bridge is seen in Qingdao, Shandong province, in this general view taken June 27, 2011.[​IMG]This photo taken Wednesday, June 29, 2011 released by China’s Xinhua news agency shows the Jiaozhou Bay Bridge in Qingdao, east China’s Shandong Province. China opened Thursday, June 30, 2011, the world’s longest cross-sea bridge, which is 42 kilometers (26 miles) long and links China’s eastern port city of Qingdao to an offshore island, Huangdao.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Zile mbio za mama Clinton zote kuja Bongo ni kuwaogopa hawa jamaa, wasikamate hiyo Uranium. Sasa ujinga wetu ni kwamba hatujui ile kitu ina thamani kiasi gani tungalijua tungenufaika mnooo, maana tungewaringia tukawapa masharti magumu sana tena kwa kuwatishia tunaingia mkataba na IRAN wa kuchimba Uranium, tungeweza pata mikataba yenye UHAI.
  Mchina bana anaelekea kuwa super power Mmarekani anahangaika sana kuzuia hiyo hali lkn si miaka mingi Mchina atatawala hii dunia.
   
 3. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,450
  Likes Received: 3,655
  Trophy Points: 280
  yaani bongo hata vitu vyetu sio vitu vyetu, teh teh even our gold is not our gold
   
 4. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Blesses to those who have got sharp minds. We the vilazas, mnh, let's keep on watching!
   
 5. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ndiyo maana kuna tofauti kati ya mtoto wa kiume na mwanamume.
   
 6. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Yangu macho!!!!!
   
 7. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,450
  Likes Received: 3,655
  Trophy Points: 280
  Teh teh
   
 8. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  duh, hawa wachina wanatisha jamani, mwaka jana kwenye shanghai expo nilitembelea daraja refu sana lililoko shanghai. daraja lile linaingia baharini kiasi kwamba linaenda hadi zaidi ya upeo wa macho! wakati ule wenyeji wangu waliniambia kuwa ndilo daraja refu kuliko yote duniani! kwangu ilikuwa ni maajabu makubwa kushuhudia katika sekta ya miundombinu, pia kuna shanghai financial centre ina majengo marefu kuliko sehemu nyingine yoyote duniani! sasa kwa hili la qingdao, hakika hapa wamekufuru kabisa!!

  hongera zao wenye akili, sie na magamba yetu??!!

  tutajibeba!!
   
 9. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sasa hivi ulaya imebaki jina tu kaka, hawa jamaa hawakamatiki. Ulaya sasa imebaki magofu lkn miji ya hawa jamaa ni kiboko. Hata shule sasa mkasome china ulaya ilikuwa zamani


   
 10. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  nahofia lisiwe 'fake'
   
 11. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,450
  Likes Received: 3,655
  Trophy Points: 280
  Kama kawa mnadhani kila kitu china ni feki, nakuhakikishia hawana msamaha katika maeneo haya na wala rushwa, hawajali wewe ni waziri mkuu au mayor Kama una kosa we unakula risasi tuu na kesi yako haidumu Kama za kwetu hapa, yaani Hawa mafisadi tungeshafukia Siku nyingi.
   
 12. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,450
  Likes Received: 3,655
  Trophy Points: 280
   
 13. g

  geophysics JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wale wenzangu wa San Francisco na San Mateo Bridge (moja ya madaraja marefu USA) hamna la kusema. Kwa daraja hili lazima wachina tuwaheshimu.
   
 14. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  thanks mkuu Ndinda,

  nilipopata fursa ya kutembelea china kwa mara ya kwanza, kuna kaka mmoja alisomea uhandisi urusi na aliwahi kwenda china kwa field, aliniambia kuwa miundombinu ya china ni maajabu, so nijiandae kuishangaa!!

  yaani kwa mapicha haya ya treni mpaka nimepotea njia. hivi hapo kuna picha ya ile treni inayotoka uwanja wa ndege wa pudong kuelekea katikati ya jiji la shanghai? manake kuna wakati ile treni ilkuwa inashikilia rekodi ya dunia kwa mwendo kasi. na hiyo hongqiao railway station kwa kweli ukishuhudia kwa macho huo mtandao wa eeli hapo kituoni unaweza kudhani unaota mchana kweupe!

  hawa watu sio siri, katika eneo la miundombinu ya reli na barabara, hakuna nchi inaweza kuwafikia!! kuna mhadhiri mmoja alisema china pekee ina theluthi moja ya mtandao wa reli duniani!!
   
 15. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,450
  Likes Received: 3,655
  Trophy Points: 280
  kama kawa jud, ile tren ya kutoka airport kwenda Katikati ya jiji ni MAGLEV (Maglev (derived from magnetic levitation), is a system of transportation that suspends, guides and propels vehicles, predominantly trains, using magnetic levitation from a very large number of magnets for lift and propulsion)http://en.wikipedia.org/wiki/Maglev_(transport)
  CHECK HII HAPA Shanghai Maglev Train - Wikipedia, the free encyclopedia
  YAANI WE ACHA TUU,
   
 16. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,071
  Trophy Points: 280
  Tunge team-up na hawa jamaa tangia enzi za Urafiki na TAZARA labda tusingekuwa hivi leo hii! Matokeo yake tulioamua kuwafuata na wenyewe wanageukia uko! Tabu kweli kweli
   
 17. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,450
  Likes Received: 3,655
  Trophy Points: 280
  labd tunaweza kuwaomba tushirikiane, treni zetu speed kali ni 40km/h za hawa watu ni mara kuni ya treni zetu
   
 18. T

  Tata JF-Expert Member

  #18
  Jul 5, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,729
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Tatizo letu siyo nani tunateam up nao. Tatizo letu ni sisi wenyewe hatutaki kutumia bongo zetu kuondokana na matatizo yanayotukabili. Tunaandaa bongo zetu ili tutakapokufa zije kuliwa na funza zikiwa fresh. Hawa jamaa wa China wali team up na wazungu wa magharibi kwa lengo la kujifunza na kubadilisha hali zao za maisha. Na kila technolojia mpya inayopatikana wanaijaribu kwao kwa ajili ya maendeleo ya nchi. Hapa kwetu viongozi wana team up na wazungu kuiibia nchi kwa ufisadi na rushwa.
   
 19. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #19
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Asante Ndinda,yetu macho.
   
 20. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #20
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,450
  Likes Received: 3,655
  Trophy Points: 280
  Kama kawa mkuu ukamilifu
   
Loading...