Daraja la Tanzanite kufungwa kuangalizia fainali UEFA, Serikali iko wapi?

KJ07

JF-Expert Member
Dec 17, 2021
2,243
5,000
Hili suala la kufunga daraja kwa ajili ya mechi ya UEFA limekaaje kitaalam mbona kama haliko sawa hivi.

Serikali iko wapi maana hili sio la kufumbia macho.

Huduma muhimu zinasitishwa kwa ajili ya anasa.

Je? daraja lilijengwa ili iwe ni sehemu ya kuangalizia mpira.
1653729277879.png
 
Hili suala la kufunga daraja kwa ajili ya mechi ya uefa limekaaje kitaalam mbna kama haliko sawa hivi

Serikali iko wapi maana hili sio la kufumbia macho .
Huduma muhimu zinasitishwa kwa ajili ya hanasa .
Je? daraja lilijengwa ili iwe ni sehemu ya kuangalizia mpira.
Eleza vizuri, dalaja gani? Wapi? Nani kasema? Si watanzania wote wameskia hiyo habari unayolalamikia.
 
Back
Top Bottom