Daraja la SGR la Tanzania labomolewa


We jamaa ni mburura mpaka nakosa la kukujibu
 
Tutapata za Joe Biden mkuu, aliyekuwa anatuletea gozigozi na kutuita shit hole countries katimuliwa Ikulu kama mwizi
 
Pita na ukicha wako kule mekaa kama vicha nisinge pigia kura tahir mm yani kujenga ofisi mnachukua miaka 25 bado ni bora ya choo changu uko hapa unaongea ujinga tu...
Hapa sasa ndiyo nimekuekewa kwamba ni wale wale mapimbi mlioshikiwa akili pale lumumba.
 
Tony254
Uchaguzi Tanzania 2020 umevurugwa na itaongezea miradi mingi mikubwa kama SGR kushindwa kukamilika ndani ya muda uliopangwa kutokana na wadau-wa-Maendeleo toka nje kukerwa na mchakato mzima wa uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2020 hivyo kuzuia grants, loans, PPP financing projects n.k

Ripoti ya Mhandisi wa TRC mwaka 2019 Mradi wa SGR kuchukua angalau miaka 15 kukamilika :

29 October 2020

TUMEPANGA KUNUNUA VICHWA VYA TRENI 39, TUNATAKA TRC IWE MFANO AFRIKA

Source : TRC RELI TV
 

umekaa wapi unasubiri ulichoandika kitimie dada yangu???

utazeekea hapo.kimsingi ndio inakwenda kujengwa miradi mikubwa kuliko wakati wowote nchini.
 
umekaa wapi unasubiri ulichoandika kitimie dada yangu???

utazeekea hapo.kimsingi ndio inakwenda kujengwa miradi mikubwa kuliko wakati wowote nchini.

GeoPolitics ya CCM Mpya kuifanya Tanzania taifa-kubwa imefeli kwa CCM Mpya kuibomoa nafasi yake Tanzania kuwa eneo la kimkakati kiuchumi, kisiasa na kikanda kwa CCM Mpya kuibomoa nyumba yake mwenyewe kama inavyosimuliwa ktk Biblia kuwa mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.

Nini CCM Mpya katika uhalisia imefanya kuiua nafasi hiyo? Tanzania imejijingea maadui wa kufikirika kikanda mfano kikanda, kimataifa imetafuta mabeberu wa kufikirika ambao ni maruhani, ndani ya nchi imeua demokrasia, uhuru na haki na hivyo kukimbiza wawekezaji wa ndani, wawekezaji wa kikanda na wawekezaji wakubwa wa kimataifa.
Geopolitics : politics, especially international relations, as influenced by geographical factors.
 
Wawekezaji wanakimbizwa kwa style hii?

 
Wawekezaji wanazidi kukimbia kweli

 
Wawekezaji wa akimbia sio mchezo

 
Wawekezaji wanatimka

 
Kama ndivyo basi tukubali kwamba hapo kuna uzembe kwa sababu mradi wa Flyover ya KAMATA unafahamika since 2014... sasa how come leo tunaambiwa ikaleta shida ya kujenga flyover wakati hilo suala linafahamika for years now?!
 
Wawekezaji ndukii

 
Hapa sasa ndiyo nimekuekewa kwamba ni wale wale mapimbi mlioshikiwa akili pale lumumba.
Kipofu kama ww huna uwezo wa kuelewa zaidi ya kuonyesha viemotions vyako...like i give a shit
 
Unaongea kama kakako lisunge...sasa subiri wanaume wakuonyeshe kazi....sita shanga ukiwa bado fukara ...sababu kitu unajua ni kuplay safe
 

Aha haaa
That's not a news. It's not uncommon, it can happen anywhere at any point in time.
 
Mkorinto and Naton Jr,
Hapo mlikuwa bado mna heshimika kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza na kihitimika 28 October 2020 Tanganyika na Zanzibar.

Sasa ni ukurasa mpya ambapo CCM Mpya ndani ya nchi, kikanda na kimataifa kuelekea 2025 dunia inawatazama kwa mtazamo wa sura nyingine baada ya mask / kinyago kuvuliwa 28 October 2020 na ukweli wa utawala wa CCM Mpya kuwa peupe hadharani kuhusu masuala ya demokrasia, haki , uhuru n.k ambalo ni suala mtambuka mpaka ktk biashara, uwekezaji na diplomasia.
 
umekaa wapi unasubiri ulichoandika kitimie dada yangu???

utazeekea hapo.kimsingi ndio inakwenda kujengwa miradi mikubwa kuliko wakati wowote nchini.
Wewe huwa una tabia mbaya ya kubatiza kila mwanaume huku JF kuwa mwanamke. Nani amekuambia kuwa bagamoyo ni mwanamke? Hii sio mara ya kwanza wewe kufanya hivi.
 
Mkuu acha wapumbavu waropoke. hii shule uliyowapa umepoteza nguvu zako bure. Tunawaambia kuwa tayari imeisha hiyooo na kibaraka wao tayari kafungiwa chumbani ubalozini. Yanayoendelea huko, hatujui.

Yule jamaa anatafuta kiki, lkn bado ngoma inadunda.
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…