afadhari hilo gari ni STK
Nimefurahi sana kuliona STK linakuwa la kwanza kuionja adha ya ujenzi wa miundombinu chini ya kiwango!
Wabunge 620 wa bunge la katiba X siku 90 X shs 300,000 kwa siku ni sawa na tshs billioni 16.8. Hizi ni sawa na barabara ya lami ya km ngapi?
Hivi huko Dar mvua hazikata tu...!!
...nilisikia ni lile la njia ya kigamboni,tujuze vyema mkuu maana wengine yanatuchanganya hili la mbagala mwisho kabla ya kituo cha mzinga....
Inategemewa mpaka alhamisi