Daraja la Mzinga lakatika

Daraja la Mzinga lakatika

Jamani nipo daraja kuu la kuelekea mikoa ya kusini nyuma ya kongowe kutoka mgagala nalo limepasuka. Lina nyufa kubwa kwa magari makubwa ni hatari usalama wao. Hali ni mbaya magari yote yanayobeba mabomba ya mradi wa gesi yamezama kwenye maji.
 
Mtaani kwetu ipo nguzo ya umeme inayo connect
njia tano nayo ni mbovu tokea chini mpaka juu
inaweza kun'goka au kukatika wakati wowote.
Tumeripoti Tanesco wala hawajali,hupita hapa
na lori lilojaa nguzo kama hizi wakiwapelelea
wenye majina.Jamani mvua hizi tutapona?
 
Nimefurahi sana kuliona STK linakuwa la kwanza kuionja adha ya ujenzi wa miundombinu chini ya kiwango!

Mkuu wangu usifikirie serikali ina hasara hapo, hasara ni kwa mwananchi wa kawaida kwa sababu mwisho wa siku hela yako ndio itakayo tumika kununua gari ingene!
 
Aisee poleni sana wa Dar na hizo kero za mvua...
 
Jamani nipo daraja kuu la kuelekea mikoa ya kusini nyuma ya kongowe kutoka mgagala nalo limepasuka. Lina nyufa kubwa kwa magari makubwa ni hatari usalama wao. Hali ni mbaya magari yote yanayobeba mabomba ya mradi wa gesi yamezama kwenye maji.

Heheheee, inatoka haitoki?
 
Inawezekana chuki zinafanya watu wawe wajinga... mafuriko ni natural disaster.. mahala popote duniani mafiriko huleta athari kwa miundombinu... haihusiani na ujenzi chini ya viwango
 
Back
Top Bottom