dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,936
- 8,345
Kama foreni inaanzia veterinali (nimepita leo saa 10 jioni), ufanisi wake mdogo bora ingekuwa round about kama ubungo.
Kama Ile Fake Ya Ubungo 😂😁😀😀Kama foreni inaanzia veterinali (nimepita leo saa 10 jioni), ufanisi wake mdogo bora ingekuwa round about kama ubungo.
leo ni too much. zaidi ya saa 1 kati ya Serengeti na lilipo daraja.
tunajuwa mshakula 10% ila huu ni mshipa.
Mto tazaraHivi daraja la Mfugale lipo kwenye mto gani ?
Huo mto wa TAZARA ni intermittentMto tazara