Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,556
Matatizo Ya Nyumbani Kwako Yanaishaga Kwa Wakati Mmoja... Punguza Akili Iliyolemaaleo ni too much. zaidi ya saa 1 kati ya Serengeti na lilipo daraja.
tunajuwa mshakula 10% ila huu ni mshipa.
Matatizo Ya Nyumbani Kwako Yanaishaga Kwa Wakati Mmoja... Punguza Akili Iliyolemaaleo ni too much. zaidi ya saa 1 kati ya Serengeti na lilipo daraja.
tunajuwa mshakula 10% ila huu ni mshipa.
hatakama kuna lori limekufa njiani unataka upite tu harakaleo ni too much. zaidi ya saa 1 kati ya Serengeti na lilipo daraja.
tunajuwa mshakula 10% ila huu ni mshipa.
Itakuwa labda kuna ajali mimi naishi gongo la mboto. Siku hizi hapo tazara hakuna foleni kabisa.
Naam! Pale pia ni tatizo.Lile Daraja 'limekosewa kwenye set up'! Nitakuchorea jinsi linavyotakiwa litumike.
Ila pia pale Buguruni inaweza ikawa ni tatizo...
Kulala kwenye foleni au kuwahi nyumbani kulala?mimi limeniongezea nusu saa ya kulala
Comments za aina hii ndiyo hutufanya tusijue tusione wala kujua tatizo letu ni nini. This is very cheap conclusion. Tatizo lipo kwenye utanzania wetu i.e. Ufisadi, Uvivu na Uzembe. Hizi hizi elements ziko kwenye mioyo ya watanzanai wengi, haijali ni vijana au wazee, wana CCM au wasio wana CCM.Chama changu cha ccm huwa kinakurupuka mno bila kufanya tathmin. wazee ni wengi sana kuliko vijana ndio maana tunakosa future solution
Chama changu cha ccm huwa kinakurupuka mno bila kufanya tathmin. wazee ni wengi sana kuliko vijana ndio maana tunakosa future solution
Kapicha tafadhal
Hebu tupien picha ili tuone hiyo folen!
We puru kweli kweli,tangi lini kwwnye flyover kunakuwa na foleni au akili zako hazikutoshi kama shati la huyu kada!Wazee wakukosoa kama kawaida yenu hahahaha.......hata kama bado kuna foleni lakini haiwezi kuwa kama mwanzo na haiwezi kuwa muda mrefu kama mwanzo.....
HAHAHAHA ujuaji mwingi...hahaha