Daraja la Mfugale halijatatua tatizo

Daraja la Mfugale halijatatua tatizo

Itakuwa labda kuna ajali mimi naishi gongo la mboto. Siku hizi hapo tazara hakuna foleni kabisa.
solution ni ya route ya Nyerere Road, upande wa Mandela Road bado mziki uleule inapotokea kama ilivyotokea leo.
 
Lile Daraja 'limekosewa kwenye set up'! Nitakuchorea jinsi linavyotakiwa litumike.
Ila pia pale Buguruni inaweza ikawa ni tatizo...
 
solution ni ya route ya Nyerere Road, upande wa Mandela Road bado mziki uleule inapotokea kama ilivyotokea leo.
Sidhani mkuu me natokea ubungo deilee napita buguruni foleni hakuna labda kutokea huko sokota.
 
Kwa Wanaotumia Hiyo Barabara Sasa Hivi Shida Sana Yaani Foleni Sana Mpaka Askari Aongoze Magari Wakati Tulijua Mambo Safi

Kwa Walioona Week Mbili Waliweka Vyuma Vimeandikwa Mfugale Nilishangaa Vilileta Sura Mbaya

Baadaye Wakavitoa
Daraja Bado
 
mimi mwenyewe niliashangaa kuongeza mavyuma ni hupotevu wa pesa tu
 
Back
Top Bottom