Daraja la kigamboni (latest pictures)

Daraja la kigamboni (latest pictures)

DARAJA-KIGAMBONI-13.jpg

DARAJA-KIGAMBONI-11.jpg

DARAJA-KIGAMBONI-3.jpg

DARAJA-KIGAMBONI-4.jpg

Sijui kama halitakuwa jipu hili
 
Hapo jk alicheza kama Diego maradona

Ungejua kwamba NSSF imefilisika kabisa wala usingesema hayo uliyoyasema, na isitoshe sababu ya kujengwa kwa hilo daraja ni Muhindi aliyewekeza nyumbazake huko Tua ngoma anataka wapangaji wake wasipate shida ya kutumia kivuko akapiga dili na akina Dau wakaamua kutumia fedha zetu za NSSF kujenga hilo daraja ambalo limeifilisi NSSF kabisa, subiri karibia utalisikia hili la kufilisika kwa NSSF!!
 
Sijui kama halitakuwa jipu hili

Ni jipu kubwa sana tena siajabu kuliko yote yaliyowahi kutumbuliwa mpaka sasa kwa maana mfuko wetu umefilisika kabisa na hata leo NSSF wanashindwa hata kulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wakati jambo ambalo halikutegemewa kutokea kwa shirika kama NSSF, na sababu hasa ya kutumia fedha zote kulijenga ni mradi wa nyumba za Muhindi huko Tua ngoma!
 
Duu time will tell.... Na hili la BRT pia ngoja tuone mwisho wake manake yote yanamhusu mteule wa sasa
 
Fantastic & Exceptional Structure in Our Country.
Well Done to NSSF & partners!
 
Kwani hili daraja tayari limisha kamilika au ndo bado kama zamani lipo kwenye mchakato wa kuanza na kubakia daraja picha
 
Kiukweli wamejitahidi sana, kuna mageti Na barabara nzuri sana
 
Back
Top Bottom