Daraja kutoka DAR mpaka ZNZBR

Daraja kutoka DAR mpaka ZNZBR

aljun raj

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
203
Reaction score
46
Unaweza ukadhani ni ndoto lakini hii ni habari ya kweli baada ya hifadhi ya jamii NSSF kutatangaza uwezekano wa kujenga daraja la historia
litakalounganisha DAR ES SALAAM NA ZANZIBAR.
 

Attachments

  • daraja.jpg
    daraja.jpg
    9.2 KB · Views: 1,200
Baada ya hapo lijengwe daraja jengine Unguja hadi Pemba na jengine Pemba hadi Tanga.
 
teh teh teh teh teh teh.........................................................................
 
Sasa lijengwe daraja Dar mpaka Zanzibar litasaidia nini?
 
Manji ndio maana anasisitiza kuwa atajenga uwanja wa kisasa pale Kaunda!
 
Madaraja tu ya ukingo mmoja wa mto hadi mwingine yanatuwhinda huku.wanang'ang'ania vitu vikubwa kama hivyo visivyo na tija...
 
Mpaka 2015 tutasikia mengi, nasikia kunanpango wa daraja kati ya Dar mpaka Dodoma ili waheshimiwa wawe wanawahi mjengoni.
 
Mi nitaomba nafasi ya kujenga Petrol stations kama tatu hivi
 
bora yule mzungu anae kataliwa zambia aje Tz maana awawenzetu wanamizengwe kweli
 
Waliosema asilimia 80% ya mipango ya maendeleo ambayo ni ghali inahusu eneo la Dar na majirani zake hajakosea.

Kuna mtu alisema uhuru umetuletea watawala toka Dar es salaam
 
mambo mengine ni kama ndoto za mchana ,kumaliza folen dsm imekuwa ndoto ,sasa wanaota kujenga daraja kwenda znz ,huko znz kuna rasilimal gan ya kuhitaj hilo daraja ,si waendelee kutumia bati na meli tuu .
 
Hivi AZAM zile meli zitaenda kivulia dagaa
_na je mzee bakhresa atakubali?
_____sie tupo
 
Back
Top Bottom