Unaweza ukadhani ni ndoto lakini hii ni habari ya kweli baada ya hifadhi ya jamii NSSF kutatangaza uwezekano wa kujenga daraja la historia
litakalounganisha DAR ES SALAAM NA ZANZIBAR.
Baada ya hapo lijengwe daraja jengine Unguja hadi Pemba na jengine Pemba hadi Tanga.