DAR WING -wa WHITE PARTY

ila white jamni hainogagi kwa sie ma black beauty!!!!!!!! Lol! Jamni hii code ifikiriwe upyaaaa!!!!!!!!! Mi ntavaa green kwa kweli!!!!!! Sasa bila kijifanya unique mtanijuaje!!!!!!!!
mi sivai kitu kabisa na joto hili lote dar? Nivae ili iweje? Tuache miili ipumue
 
halafu wewe kwa ukaribu wako na town a(aaaaaaah shit kumbe uko mbpnde........lol!) ila nataka wewe na cacico mshughulikie menu na iwe ni bomba msosi bomba wa bei nzuri

unanichimba naona!ahahhahahahhahahhahahha ilishakuwa story!
 
Hio ni fair trade! I promise! Nikichangia Party Mungu hanibariki but nikichangia JF its a charitable act!


This is one of the reason why lara 1 is always top of the line. Ukitoa Mungu anakubariki!

Also: Read my signature!

Stay blessed.
 
Last edited by a moderator:
pamoja sana mkuu.

Nakubaliana na yote kasoro hilo la kuvaa full white....isijeonekana chama cha wauza mabucha kimefanya party na sio JF membaz....na pia sio wote wanapendeza in full white....rangi zahisika hapa pia...ni mtazamo tu gfsonwin.....
 
Last edited by a moderator:

Mi ugomvi sijui wala ni wa nini. Labda gfsonwin anajua mwenyewe.

Halafu kila wakati Smile anasema nikusalimie toka ameona uzi ule wa Basidei. So, mi nafikisha salamu!
 
Last edited by a moderator:


Nakubaliana na yote kasoro hilo la kuvaa full white....isijeonekana chama cha wauza mabucha kimefanya party na sio JF membaz....na pia sio wote wanapendeza in full white....rangi zahisika hapa pia...ni mtazamo tu gfsonwin.....

hapana sijasema full white jamani mkaka unaweza kumix ila white iwepo lol!
 
Ila white jamni hainogagi kwa sie ma Black Beauty!!!!!!!! LOL! Jamni hii code ifikiriwe upyaaaa!!!!!!!!! Mi ntavaa green kwa kweli!!!!!! Sasa bila kijifanya UNIQUE mtanijuaje!!!!!!!!

...........hebu jaribu hii kitu, nina imani utatambulika tu

Almradi usitofautiane na sisi wa white.
 
we mtoto wa kike nakumisije sasa!mwe
jamani gfsonwin mpenzi si upitishe bakuli nipate umeme mie!ah!
snowhite hata mie nimekumiss sana tu my shostito! Muda mwingi nimeutumia kufuatilia sinema moja hivi sijui ni jukwaa gani. Yaani ni tamu sana alkini ina parts nyingi sana na stalingi wake anaboa maana anatokea na kupotea! Tena bora nimekumbuka ngoja nikachungulie kama imeanza tena. Ila best ujue tu kuwa hata kama kutakuwa hakuna kujitambulisha mie ntafanya kila ntakaloweza nikufahamu physically.
 
Last edited by a moderator:
Mi ugomvi sijui wala ni wa nini. Labda gfsonwin anajua mwenyewe.

Halafu kila wakati Smile anasema nikusalimie toka ameona uzi ule wa Basidei. So, mi nafikisha salamu!
Superman nashukuru kwa salamu. Smile asante pia kwa kupitishia salamu zako kwa Superman zimefika kama ulivyomsoma.
 
Last edited by a moderator:
hahahhaha! umenivunja mbavu lol!
haya wewe utuletee gin &tonic manake mfuko wetu hautaruhusu lol!(joke)

Captain Morgan, Jack Daniel, and John walker (keep walking) --all four labels-ie Black, Blue, Green, and Red. Seven bottles in total

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…