Itzmusacmb
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 1,531
- 1,138
Angalau umeungana nao ktk maumivu wanayopata, hii sio kitu rahisi kuhimili hasa ikikutokea wewe ama ndugu yako. Anahangaika sana we acha.Poleni sana
Ndio kujenga kwenye eneo la reli? Chama gani kinaruhusu?Kura za ubunge za jimbo hili ziligawanyika kwa watu watatu yaani cdm, cuf na ccm walioshinda. Ukijumlisha kura za cuf na cdm kwa pamoja zilikuwa myingi kuzidi za ccm lakini katika principle ya simple majority ccm wakashinda!
Sasa siwezi kujua hapa ni nani anasomeshwa namba na ukweli kwa sasa familia nyingi hazina uhakika wa hata kula mlo mmoja hivyo shelter pekee ndio ilikuwa tumaini lililobakia. Kubomoa na nyumba si ajabu tukasikia tena tukio kama la mfanyabiashara wa vinywaji wa Dodoma!
Toa Vyeti wewe BASHITE.Wauza ngada mna mamboooooo
HizI ndio akili zinazomshsuri Mbowe...BURE kabisaKura za ubunge za jimbo hili ziligawanyika kwa watu watatu yaani cdm, cuf na ccm walioshinda. Ukijumlisha kura za cuf na cdm kwa pamoja zilikuwa myingi kuzidi za ccm lakini katika principle ya simple majority ccm wakashinda!
Sasa siwezi kujua hapa ni nani anasomeshwa namba na ukweli kwa sasa familia nyingi hazina uhakika wa hata kula mlo mmoja hivyo shelter pekee ndio ilikuwa tumaini lililobakia. Kubomoa na nyumba si ajabu tukasikia tena tukio kama la mfanyabiashara wa vinywaji wa Dodoma!
Ivi kumbe buguruni sio jimbo la Ilala? Nilijua ivo. Kumbe segereaKura za ubunge za jimbo hili ziligawanyika kwa watu watatu yaani cdm, cuf na ccm walioshinda. Ukijumlisha kura za cuf na cdm kwa pamoja zilikuwa myingi kuzidi za ccm lakini katika principle ya simple majority ccm wakashinda!