Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,662
Duuu!! Mkuu bro amefariki akiwa na basi liitwalo: Baraka Bus, maiti iko Kilwa Kivinje Hospital wamefariki sita!! Nimempata kwenye simu aliyenijulisha ajali.
Duuh pole sana Mkuu....
Nadhani mngefika kwenye ofisi za mabasi yanayokwenda huko,pale inakua rahisi kupata taarifa maanake huwa wanapeana taarifa kwamba basi fulani limepata ajali.
Dada yuko Dodoma kikazi ameondoka asubuhi hii kwenda huko Mtwara mwingine ametangulia asubuhi hii na atakuwa ameshavuka Nzega. Home kwa wazazi ni Geita na mwili utaletwa huku.
Dada yuko Dodoma kikazi ameondoka asubuhi hii kwenda huko Mtwara mwingine ametangulia asubuhi hii na atakuwa ameshavuka Nzega. Home kwa wazazi ni Geita na mwili utaletwa huku.
poleni sana.
nilifikiri mpo Dar ama kuna ndugu wa karibu aliyeko dar,
mngeweza kutumia njia hiyo kupata taarifa za awali.
poleni sana.
nilifikiri mpo Dar ama kuna ndugu wa karibu aliyeko dar,
mngeweza kutumia njia hiyo kupata taarifa za awali.
Inaweza isiwepo ajali jaribu kutulia siku hizi mtuakiibia simu mijizi/fund viatu inaanza kutuma sms eti ndugu yako yupo hospital tuma pesa asaidiwe wakati yamepiga simu yake.