Dar to Mbeya

Dar to Mbeya

Kudasalama au kumbwani?? Karibu mbeya yetu!

Kumbwani au kudasalama yote sahihi tu, inategemea umekuwa exposed na aina gani ya watu waliokufunza hiyo lugha...

In fact neno kumbwani limetokana na uwepo wa pwani ya bahari na wakati huo watu hawakujua kama kuna maeneo mengine kama Tanga, Pwani, Mtwara na Lindi nayo yana bahari...
 
kumbwani au kudasalama yote sahihi tu, inategemea umekuwa exposed na aina gani ya watu waliokufunza hiyo lugha...

In fact neno kumbwani limetokana na uwepo wa pwani ya bahari na wakati huo watu hawakujua kama kuna maeneo mengine kama tanga, pwani, mtwara na lindi nayo yana bahari...

shkamoo mwalimu
 
asante, nimeshakaribia

Ni PM pls;nipo Sisimba na nahaidi ntakufuata popote ulipo ktk mji huu!

Wewe wapi?Kwa Mama John;Mafiati;Meta;Uyole;Uhindini;Block T;Jacaranda ........??

Nasubiri
 
Ni PM pls;nipo Sisimba na nahaidi ntakufuata popote ulipo ktk mji huu!

Wewe wapi?Kwa Mama John;Mafiati;Meta;Uyole;Uhindini;Block T;Jacaranda ........??

Nasubiri

Nipo naye Rujewa huku kaja kutafuta mashamba ya mpunga...

Huko mjini atakuja kupanda basi tu siku ya kwenda kwao huko Dar...
 
nipo naye rujewa huku kaja kutafuta mashamba ya mpunga...

Huko mjini atakuja kupanda basi tu siku ya kwenda kwao huko dar...

umeshaiona nazi ya macho manne sasa?
 
ni pm pls;nipo sisimba na nahaidi ntakufuata popote ulipo ktk mji huu!

Wewe wapi?kwa mama john;mafiati;meta;uyole;uhindini;block t;jacaranda ........??

Nasubiri

mmmmmmh! Aya athantee
 
hahaha! Yani wali lazima utoke kama pilau!

Hehehe...

Halafu unajua sisi wa mkoani ukitutajia msamiati "pilau" huwa tunawaza sikukuu....maana huo msosi ni adimu kwetu...

Nasikia nyie wa Dar huwa mnakula kila Jumapili...!!
 
hehehe...

Halafu unajua sisi wa mkoani ukitutajia msamiati "pilau" huwa tunawaza sikukuu....maana huo msosi ni adimu kwetu...

Nasikia nyie wa dar huwa mnakula kila jumapili...!!

teh teh teh!! Mmezoea mbalaga tu nyie!
 
Nipo naye Rujewa huku kaja kutafuta mashamba ya mpunga...

Huko mjini atakuja kupanda basi tu siku ya kwenda kwao huko Dar...

Haya watu8;mambo matamu yameisha wasili Rujewa?enjoy mkuu!
 
Hahaha...
We mvizie siku akija kupanda Happy Nation au New Force ya kuja Dar...kasema atafikia Block T

Hapana nakuheshimu kaka!Na mm nitamleta wangu wa hapa JF lkn yule demu anakunywa sana pombe bana lol!Anyway nitamleta hivyo hivyo tena!
 
Hapana nakuheshimu kaka!Na mm nitamleta wangu wa hapa JF lkn yule demu anakunywa sana pombe bana lol!Anyway nitamleta hivyo hivyo tena!

Hahaha....

Haya nkamu...une nga ni njobhelo
 
We kwin hivi king kan kakuruhusu usafiri kweli? Mbona anahaha anasema kuna bwana kakutorosha na ameapa kufa na ntu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom