DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Huyu sheikh anahitaji maombi kwa kweli.!
Badala ya kumuombea adui yako adumu ili aone mafanikio yako apate kumtukuza Mungu wako we ynamuombea kifo?
Hopeless kabisa.!!
 
Nimesikiliza hii clip kwa 25% nimecheka sana ngoja ntasikilizakesho labda.
 
Kuwa katika position kama yake sio kitu cha mchezo mchezo tu

Maana ingekuwa ni rahisi hata wewe ungekuwa hapo
Lakini ana kipawa ambacho Mwenye Enzi Mungu anemtunuku!

Ndiyo maana kwenye Biblia Takatifu Mfalme Daudi hakuthubutu kumwuua Mfalme Sauli, tena alimwita mpakwa mafuta wa Mola, akamwambia Mwenye Enzi Mungu pekee ndiyo atakaye kuhukumu!

Hivi viti wanavyo kalia wakuu wa dini sio vya mchezo, ni watu wanao shika roho za watu yaani ni IMANI!

Tuwe wasngalifu sana kwenye maswala haya!

Tusiwafanye wakakunja roho zao!

Kweli nawaambia mwisho wake huwa sio mzuri hata!
Unamaanisha viongozi wa dini kama Baba Askofu Niwemugizi aliyeundiwa zengwe la uraia wake au unamaanisha kiongozi wa dini kama sheikh Ponda ambaye kila siku anapelekwa polisi na kulazwa ndani bila sababu...hebu tuwe serious kidogo aisee...kwahiyo viongozi wa dini type ya kina Nabii Tito na huyu sheikh wa dsm ndio wateule wa Mungu waachwe wataadhibiwa na mungu tuu...ahahahhaa. MANGEEEEEE...NYOOSHA HAWA WENGINE MUNGU ANA MAMBO MWNGI YA KUFANYA HAWA MALOZANA NAO HUKUHUKU AHERA HESABU TUU.
 
Tukumbuke lusekelo naye alituambiaga kuwa wale wote waliomzushia kuwa alilewa wangekufa vinginevyo yy sio mchungaji tena,lakini jamaa wapo wanadunda tu ,,sheikh hapo amelikoroga
 
Kweli Mange kiboko yao. Katishiwa na Sirooo hakuogopa, sasa katishiwa albadill nayo haogopi?? Acha wafwe tyuu mbona yule mzee kaenda kwani yeye ilikuwa albadili?? B/up sana Mange. Wachemsheeee hadi wachemkeeee wakome kukutishia maisha. Ulizaliwa siku moja na utakufa siku moja pia. Asije tangukia huyo mwenye majini Mange akafanya sherehe
 
Hahahahahah
Huyu shehe jiwe la gizani limempata,kilichoongelewa juu yake ni kweli,hivi mpaka sasa hivi Mange hajamjibu kweli?
Hahahahah.
 
Huo ni Mkutano wa CCM Temeke mwaka 2014 na yeye alienda pale kama Mgeni Mwalikwa! Na ulikuwa ni mkutano wa ndani wa kuchagua viongozi wa Jambo!!

Don't forget, huyu Sheikh katokea Temeke.
Ok.
Nimekuelewa..

Lkn Shehk mbona kajipa Kazi ya Mungu ya kuhukumu...???

Maana nakumbuka mwaka 1992 pale Mwembeyanga maduka ya nguruwe yalipochomwa moto,wakati serikali iliingiza FFU na Mbwa msikitini wkt wa Adhuhuri na kuwatandika waumini wa Kiislam kisawasawa kesho yake asbh viongozi wa Kiislam waliwakusanya waumini kwaajili ya kumsomea ALBADIRI wkt huo Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Agaustine Lyatonga Mrema.

Mrema leo tunae na ni Mwenyekiti wa chama flani cha siasa.

Sijaona haja ya kiongozi wa heahima kama yule kumjibu Mange zaidi ya kumpuuza.
 
Ok.
Nimekuelewa..

Lkn Shehk mbona kajipa Kazi ya Mungu ya kuhukumu...???

Maana nakumbuka mwaka 1992 pale Mwembeyanga maduka ya nguruwe yalipochomwa moto,wakati serikali iliingiza FFU na Mbwa msikitini wkt wa Adhuhuri na kuwatandika waumini wa Kiislam kisawasawa kesho yake asbh viongozi wa Kiislam waliwakusanya waumini kwaajili ya kumsomea ALBADIRI wkt huo Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Agaustine Lyatonga Mrema.

Mrema leo tunae na ni Mwenyekiti wa chama flani cha siasa.

Sijaona haja ya kiongozi wa heahima kama yule kumjibu Mange zaidi ya kumpuuza.
Japokuwa mimi si mpenzi wa huyu Sheikh na wala simuungi mkono katika hili , lakini Hali ya Mrema unaionaje hivi sasa....!!??
 
Huyu kweli amekosa KAZI ya kufanya yaani anabishana na mange, kwani angekaa kimya angepungukiwa na nini. Ona sasa matusi aliyo ambulia Huko Instagram
 
Kumbe vigogo wanamsomaga MangeKimambi kimyakimya eehh.Huyu mwanadada ni hatari kuna ssiku Trump naye atajitokeza kujibizana naye siku moja.Sema wahenge walisema ukweli ni mchunguuuu kwa maana hiyo kila siku wanachungulia amepost nini
 
namuonea huruma huyu shehe maana hata waliomzunguka hapo kwenye picha wengine watakuwa wanamtumia mange ma siri ya huyu bwana mkubwa,ajiandae tu kisaikolojia kupungua kwa heshima yake kama lile la kwamba inasemekana anapenda kula tigo za wadada kwenye gari na ofisini kwake..hii vita na mange itamcost vibaya mno
 
Back
Top Bottom