5997
JF-Expert Member
- Jan 19, 2019
- 513
- 1,210
Samaki Wa Tanzania wanazuiwa mpaka wanapimwa kwa rulaSasa samaki wa China wa nini tena Tanzania wakati samaki huku wamejaa wakuu?
Samaki Wa Tanzania wanazuiwa mpaka wanapimwa kwa rulaSasa samaki wa China wa nini tena Tanzania wakati samaki huku wamejaa wakuu?
Hata wahindi laah![emoji849][emoji849]Hilo la uchafu uko sawa kabisa Mkuu. Kama kuna watu wachafu duniani hawa bila ya shaka wanachukua namba.
Huku wavuvi hawavui samaki wa kutosha wanatoa sababu ya wavu(kokoro) ndogo zinazo katazwa na usumbufu wa wizara husika.Sasa samaki wa China wa nini tena Tanzania wakati samaki huku wamejaa wakuu?
Au urefu sahihi kwa mujibu wa kipimo cha rulaInawezekana samaki wetu hawajafikia umri wa kuvuliwa
Hatuwezi mkuu...…...Hivi kweli hatuwezi kuongeza uzalishaji wa samaki katika maziwa yetu. Tuna ziwa victoria, Tanganyika, nyasa etc hatuwezi kweli kuongeza uzalishaji samaki katika hayo maziwa kwa kushirikiana na nchi jirani na hayo maziwa.
Wanaoruhusu ndio hasa wahujumu uchumi.lakini pia ujiulize Tfda wako wapi?Tatizo lipo kwetu ...
Aliyeruhusu hizi biashara kuingizwa nchini na sisi kufanywa dampo yumo humu humu...
Mgeni hawezi fanya jambo pasipo ushirika na mwenyeji!
Hii nchi imeharibiwa na tuliotegemea wawe wajenzi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni commission Mkuu.Hiyo ndio inaharibu na kuua watu wetu.Ni sisi kwa sisi tunamalizana,tufike mahali sasa tusikubali kuchinjwa kikondoo.Hivi kweli hatuwezi kuongeza uzalishaji wa samaki katika maziwa yetu. Tuna ziwa victoria, Tanganyika, nyasa etc hatuwezi kweli kuongeza uzalishaji samaki katika hayo maziwa kwa kushirikiana na nchi jirani na hayo maziwa.
Kwa nn ukale kwa mchina tatizo wabongo wana matatizo ya akiliKabisa Mkuu au mbwa. Mie hawa jamaa kula sehemu zao SITHUBUTU!
Hilo la uchafu uko sawa kabisa Mkuu. Kama kuna watu wachafu duniani hawa bila ya shaka wanachukua namba.
Hilo ni kweli sasa inamaanisha usimamizi ni mbovu wa rasilimali zetuNi suala la kujiuliza tuna bahari kubwa na samaki wengi inakuwaje samaki wanaagizwa kutoka nje? Kuna samaki vibua wanauzwa ktk viboksi kuanzia idadi ya 35 na 50 kina mama lishe ndio namba moja kununua tunaibiwa samaki ktk bahari yetu halafu wanakuja kutuuzia tena .nchi inakosa mapato makubwa kwa jinsi hii nchi haitaendelea tutapiga mguu upande mguu sawa siku zinaenda maisha ya wananchi yanakuwa magumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Maswali ya kujiuliza ni mengiShehena ya samaki wenye sumu kutoka nchini China wateketezwa katika dampo la Pugu Kinyamwezi Jijini Dar Es Salaam , zoezi lililosimamiwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh.Luhaga Mpina.
Shehena ya samaki wenye sumu kutoka nchini China wateketezwa katika dampo la Pugu Kinyamwezi Jijini Dar Es Salaam.
zoezi hilo lilofanyika leo Machi 11, 2019 limesimamiwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina.
Samaki walioteketezwa wanafikia Tani 11 ambapo inaelezwa thamani yake ni zaidi ya TSh Milioni 60, ni baada ya kubainika kuwa samaki hao wana kemikali ya Zebaki yenye madhara kwa jamii na inaweza sababisha Saratani na kuharibu uzazi.
Picha/video tafadhali.
Samaki aina ya vibua weusi wanatoka nje piaSamaki wengi unaowakuta ferry ujue wameagizwa toka nje... Hapa ukitaka kuvua huwezi hata kupata leseni
Sent using Jamii Forums mobile app
Da! Wale masela wa Pugu dampo nnavyowajua lazima watafukua hata ayo majivuHiyo hapo mkuuView attachment 1043399