Dar: Raia wachoma matairi barabarani Mtongani Kunduchi

Zaburi 23

JF-Expert Member
Feb 22, 2017
570
650
Watu wamechoma matairi hapa barabarani maeneo ya Mtongani Kunduchi, nimegeuza na Gari yangu nizungukie Mbuyuni.

Wenye nchi fanyeni kweli mzime moto huo. Wanapita watembea kwa miguu na bodaboda wenye vi Ist vyetu tumeshindwa kupita.
 
Unajiita Zaburi 23 !!
Unajua Mungu vizuri ?
Story yako inatusaidia nini sisi?
Wewe na gari lako ndo mmeshirikiana kuandik huu uzi humu muda huu?
 
Back
Top Bottom