Dar Port Kunani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dar Port Kunani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BAK, Feb 1, 2009.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,608
  Trophy Points: 280
  Dozens of ships now stranded at Dar port :No official explanation so far

  [​IMG]
  A NEW TYPE OF CONGESTION? At least four cargo-laden sea vessels are pictured making a bee-line just outside the port's main entrance yesterday.

  THISDAY REPORTER
  Dar es Salaam ​

  FOREIGN ships are beginning to form a long queue at the port of Dar es Salaam's outer anchorage because of what has been described as inefficiencies in cargo unloading plus delays in customs clearance, it has been learned.

  A THISDAY survey conducted on Thursday night counted at least 19 sea vessels at the anchorage, and neither port authorities nor stakeholders could immediately explain what the problem was.

  When contacted yesterday, Tanzania Port Authority's Senior Public Affairs Manager Franklin Mziray said he was not in a position to comment.

  ''I can't give you information over the phone since I don't know you...maybe we should meet physically,'' Mziray told our reporter in a telephone interview, saying he was in Dodoma.


  The chairmen of both the Tanzania Shipping Agents Association (TASAA) and Tanzania Freight Forwarders Association (TAFFA), Emmanuel Mallya and Otieno Igogo respectively, were also reluctant to comment on the matter.

  However, an official with the Surface and Marine Transport Regulatory Authority (SUMATRA), speaking on condition of remaining anonymous, asserted that the problem was with TPA.

  ''It is TPA that should be blamed for this mess. They said over 700 containers have been removed from the port, which in effect suggested that more space has been created for new cargo. So why then are these ships stranded?,'' the SUMATRA official remarked in an interview with THISDAY.

  Offering an official government position on the matter, the Permanent Secretary in the Ministry of Infrastructure Development, Omary Chambo, said when contacted yesterday that it was too early to note the impact of ships congestion at the port.

  According to Chambo, there were ''even more ships at the anchorage'' before the recently-formed presidential task force to tackle the perennial containers congestion problem at the port began its work.

  ''We should give the task force enough time to do its work...after all, it is barely three days since they started the work,'' said the PS.

  Comprising representatives of various industry bodies like TPA, the Tanzania Revenue Authority (TRA), shipping agencies and clearing and forwarding agencies, the task force is expected to come up with workable strategies for decongesting the port.

  Chambo said since there are so many players involved in the port operations, the task force should be given enough time to make a proper assessment of the causes and consequences, along with possible solutions of the congestion problem.

  Some progress has already been reported in efforts to solve the problem, with the state-run TPA recently announcing that over 700 containers have so far been transferred from the congested port area to inland container depots (ICDs) around the city.

  But various users of the region's major port facility remain unhappy about the situation, with the Canadian gold mining giant Barrick Tanzania recently stating a newfound preference for the Mombasa port in Kenya to Dar es Salaam.

  Barrick Tanzania spokesman Teweli Teweli was quoted by the media as stating that cargo transported through the Dar port is too often subjected to clearing delays due to bureaucracy, unlike the Mombasa port.

  According to Teweli, although it costs $4,000 for the gold mining company to transport incoming cargo from Mombasa by road to Kahama in Shinyanga Region while the same cargo would be charged only $2,500 to be transported from Dar es Salaam by rail to the same area, Barrick Tanzania still prefers Mombasa because of faster cargo clearance.
   
 2. U

  Utatu JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2009
  Joined: Dec 31, 2008
  Messages: 436
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 60
  Ni aibu sana, kila kitu kinatushinda waTanzania, kila siku wa mwisho? Tunashindwa na Mombasa! Huu uzembe na umasikini wa fikira utatutoka lini?
   
 3. M

  Mkandara Verified User

  #3
  Feb 1, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hakuna solution ya kudumu ktk port ya Dar isipokuwa kujengwa kwa port nyingine yenye uwezo mkubwa zaidi nje ya jiji sehemu zenye fukwe kuelekea Bagamoyo..
  Kinywa cha babndari yetu ni kidogo sana na bandari haiwekzi kuongezeka ikiwa tatizo ni kinywa chake..chukulia tu bus lenye mlango mmoja hata siku moja haliwezi kuchukua uharaka wa aina yoyote kufupisha muda wa kuchukua abiria 50... hakuna solution isipokuwa kubomoa huo mlango au kuongeza mlango mwingine..

  Hii nafasi ya Bandari ya sasa na mandhari yake hakika ni ktk kuufikiria mji mpya wa Dar ambao unahitaji zaidi nafasi kubwa iliyochukuliwa na Bandari.. Mauzo ya sehemu hiyo tu iwe viwanja kwa Mahotel na majumba ya high rise ikiwa ni pamoja na maofisi, maduka Apartment na condos itarudisha fedha kibao za mtaji utakao tumika ktk ujenzi wa bandari mpya.. Mji wetu utapendeza na masalio ya Bandari yatumike kwa cruiser shipline ambazo zitakuwa zikimiminika nchini kuleta Watalii, Yatch clubs, michezi ya maji na bustani safi zinazoambaa pwani. Pia barabara ya nguvu Blvd kandokando ya fukwe toka Kurasini hadi O'bay zikiungana na daraja la Kigamboni..Haya ndio maendeleo tunayoyatazamia.
  Nimefurahi sana kuona tangazo jipya la Tanzania CNN, baaabu kubwa! hakika inaonyesha wazi message za Jf zimeanza kugonga mahala pake..
   
 4. C

  Chuma JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2009
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkandara kwani tatizo la Dar Port ni hilo ulilolizungumzia?...Chunguza kaka..Uzembe tu kwenda Mbele na FIKIRA DUNI za VIONGOZI wetu waliokaa kuangalia Matumbo yao.
   
 5. M

  Mkandara Verified User

  #5
  Feb 2, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Chuma,
  Mbali na uzembe wa viongozi wetu kusema kweli Port yetu haifai kuwepo hapo period...Nchi inazidi kukua kila siku na meli zinazidi kuongezeka kila siku hivyo hata kama tutaweza kuondoa uzembe ktk upakuaji bado tutakuwa na matatizo..
  Kulingana na habari hii inaonyesha wazi kwamba tatizo lipo ktk kasi ya Upakuaji mizigo, iwe uzembe au chochote kile swala hili halikuanza jana..
  Nakumbuka toka wakati wa mwalimu tulikuwa na matatizo meli zikiingia nyingi kwa wakati mmoja kwa hiyo tulianza kujenga utaratibu hata wa kupokea meli nchini wakati haitakiwi kabisa kuwa hivyo bali schedulea zao ziwe za Kimataifa...
   
Loading...