google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,629
- 13,694
mzee tafakari yako inaukakasi, ila usijali ndivyo ilivyo hahahahaha wahenga tumekuelewaAskari walijibu mapigo na walifanikiwa kuwajeruhi majambazi watatu OMARI ATHUMANI, FULLSABA NA BABU SHOBO sehemu mbalimbali za miili yao na mmoja aitwaye DOGO SIDE alifanikiwa kukimbia kusikojulikana, majeruhi wote walikimbizwa hospitali ya taifa Mhimbili kwa matibabu lakini baada ya Daktari kuwapima alithibitisha kuwa wameshafariki dunia.