Dar: Polisi waua majambazi watano

Kwa hiyo majambazi wote huwa wanapigwa za miguu na kufa.... Hao huwa wanawaua maksudi... rejea kesi ya wale wauza madini wa mererani polisi waliwapora na kuwapiga risasi baadae wakasema walikua majambazi wanakimbia... Kumbe waliwakamata wakawapeleka mabwepande wakawapora na kuwapiga risasi za kichwa wakiwa wamewafunga mikono.... Polisi wana madudu mengi sana.
Sasa jambazi akipigwa risasi ya mguu, ukavunjika vibaya, unafikiri wakati anakimbizwa kwenda hosp kuna guarantee afike akiwa hai? Sometimes sio ya mguu, unaweza kuta imepiga ya moyo kwa sbb wanakimbizana, sasa ya moyo ukiwa hata kabla ya kufika hosp unatangulia mbele za haki, ndio hivyo yaani..!! Tii sheria bila shuruti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mnalalamika ivo??? Nyie mkiwashika huko kitaa mnawatia kiberiti si bora risasi unakufa chap. Mambo ni mengi hatutak msongamano magerezani nanyinyi mkiwashka huko fanyeni kama kawaida tushirikiane kutokomeza hili janga.
 


Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewaua majambazi watano na kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa wanne, kukamata silaha nne na risasi 59 katika matukio matatu tofauti.

Marchi 3 mwaka huu majira ya saa kumi na mbili na nusu jioni huko maeneo ya Kibaha Maili moja Jeshi la Polisi likiwa katika ufuatiliaji lilimkamata mtuhumiwa moja aitwaye Friday Samson (29)askari wa JWTZ Kikosi cha 36KJ Kibaha Msangani na katika mahojiano ya kina alikiri kumiliki silaha mbili kinyume cha sheria na kwamba huzihifadhi silaha hizo nyumbani kwa mke mdogo mtaa wa Muheza Kibaha Pwani na hufanyia matukio ya uhalifu katika maeneo mbalimbali.

Baada ya mahojiano Jeshi la Polisi pamoja na mtuhumiwa huyo walifika kwenye nyumba hiyo na kufanikiwa kukamata silaha aina ya AK 47 yenye namba NM174844 ikiwa na risasi 20 ndani ya magazine, boksi moja likiwa na risasi 27,bastola moja yenye namba 3249 ikwa na risasi 7 ndani ya magazine na risasi 3 za silaha ya G3.

Mtuhumiwa alikubali kuwaonyesha wenzake watatu anaoshirikiana nao katika matukio hayo na askari walipofika kwenye nyumba wanayoishi watuhumiwa hao walianza kukimbia kupitia mlango wa nyuma na hatimaye askari walirusha risasi hewani kuwaamuru wasimame lakini walikaidi na ndipo walipowafyatulia risasi za miguu ambazo ziliwajeruhi na walifariki dunia wakiwa njiani kupelekwa hospitali.
Mbona simulizi zote za kuonesha walionificha au silaha zinafanana! Huishia na mguu kisha kifo.
 
hii nchi kwa masinema haishindikani kuambiwa hivyo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
@Nifah dada yangu kaka yetu The Bold umemficha wapi siku hizi?

Maendeleo hayana chama
 
Wewe mtoto wa mama kaa ukijua kazi ya kutumia bunduki inahitaji nguvu nyingi na siyo akili nyingi. Ile kazi waachie wenyewe mtoto wa mom kama ww unaweza 'vunjiwa yai kalioni'

5/5
Raid haihitaji nguvu nyingi mama mkubwa wewe ni akili tu...we ni polisi nini mbona kama unateseka...fag

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niambie range gani hufundishwa majeshi yetu kuanzia kiunoni kushuka chini ukijibu hilo swali nitajua unaelewa kitu. Na pia kwa mujibu was sheria zako hakuna jeshi lolote lina ruhusiwa kuua.na ukijifanya unajua sana sheria lazima utakuwa mpumbavu mana sheria hufunga vitu vyenye msingi na tija ili tuwe wajinga tusiweze songa mbele
Huyu Polo hajielewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi yule dc aliyesema kuwa polisi wa tanzania huwa hawakosei wanapolenga ni wa wapi vile?
 
Back
Top Bottom