Dar: Polisi wafanya mazoezi ya utayari wa kupambana na uhalifu wowote. RCP Muliro asema hawataruhusu kikundi cha watu kutengeneza hofu

Ccm ilishafikia tamati siku nyingi tu kupitia space ya Maria
 
Kwa kosa gani?
Sheria ipi inayosema watu wakienda mahakaman kusikiliza kesi wapigwe na kuvunjwa viuno??

Acha uzezeta wewe, usisubir kulelewa , jitegemee uone umuhimu wa katiba mpya!
Mkuu Kwa maisha niliyonayo ninao uwezo wa kuwalisha wafuasi wote wa gaidi mbowe
 
Ccm ilishafikia tamati siku nyingi tu kupitia space ya Maria

Waambie hao polisi hayo maigizo ya kitoto sio deal, ni bora wangemkamata aliyekuwa anaiba mafuta. Lakini wako kimya huku wakijitutumua kwa watu wasio hata na wembe.
 
Tukiwa na ushabiki wa kawaida kwenye siasa Kama ilivyo kwenye ushabiki wa mpira, tunapungukiwa nn? Kwanini kwenye siasa tuchukiane hivyo!! Hao unaotaka wavunjwe viuno, wengine ni waume wa shangazi yako!! Sasa shangazi yako atapewa utamu na nani?
Mkuu Sina ndugu hata mmoja mwenye akili za chadema,acha wavunjwe viuno akili ziwakae sawa,subiri kesho utaona
 
Waambie hao polisi hayo maigizo ya kitoto sio deal, ni bora wangemkamata aliyekuwa anaiba mafuta. Lakini wako kimya huku wakijitutumua kwa watu wasio hata na wembe.
Mama hataki uonevu ndio maana amewaacha waendelee kula maisha
 
Hahaha hiyo umewapa kazi ngumu. Wambie tu kuna kibaka teja anasumbua hapa mtaani Chanika. It will take them 1 week
 
Napendekeza wavunjwe viuno kabisa Hawa wafuasi wa ghaidi mbowe

 
Una ukoo na makaburu SA
 
Kesho nna summons ya kwenda kuchuku pale mahakamani,kazi ipo
 
Mkuu kuwa serious basi wewe una nyumba?
 
Mama hataki uonevu ndio maana amewaacha waendelee kula maisha
Sio kwamba hapendi uonevu, bali anajihusisha na siasa za kishenzi. Ndio maana anatumia fedha za umma kwenda kupambana na kesi ya kubambikizia, huku mambo ya msingi yakimshinda. Anashindwa kumkamata aliyekuwa anaitia serikali hasara, halafu anatumia hovyo pesa za serikali kwa kuendekeza siasa za kitoto, kisha unashanglia huo utoto kama zwazwa. Hapo wazungu wataacha kutuita manyani kweli?
 
Askari wa jeshi la polisi wakiongozwa na kamanda wa kanda maalumu afande Muliro leo wamefanya mazoezi maalumu.

Afande Muliro amesema mazoezi hayo ni ya kawaida kwa askari kujiweka tayari kupambana na uhalifu.

Polisi wanaonekana wana nguvu sababu hao wanao hawajiandai kupambana ila siku watakayojiandaa ndio watajua hawana nguvu.

2013 Nilimpiga mwanajeshi Shinyanga hivyo hivyo sababu alidhani nitamuogopa na mimi moyoni nikasema liwalo na liwe kama ana mafunzo mimi nimekaa dojo miaka 13 ngoja tuoneshane nikampiga nadhani hata kaa asahau maisha yake yote.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…