Dar: Philip Mangula aanguka gafla, alazwa ICU. Rais Magufuli amjulia hali

kama mwanadamu namwombea apone!

lakn habari za kusema kuchota busara si kweli! wao ndio wanaendesha hii serikali na chama tawala! huu uongozi unaakisi tabia zao. kama unaona awamu hii imejaa busara basi sawa nitaungana na ww! lakn kwa utendaji wa ccm ya leo hana hata robo ya busara!

wao ndio waratibu kuwanunua wapinzani,

kupora chaguzi zooote ndogo.

kwa mara ya mwisho aliposhika mic alitamka maneno mabovu sana! akasema mwaka huu ccm itashinda kwa % 99!! na kuhakikisha vyama vya upinzani vinakufa! je hizi ndio busara???????????
Kwa hivyo atakufa ataviacha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwa kama mtanzania na mzalendo wa kweli sinabudi kumtakia pole mzee wetu Mangula. Namuombea kila aina ya dua njema aweze kupona.

Mzee Mangula ni kati ya wazee wetu ambao kimsingi tunawatumia kama kisima cha kuchota busara.

In God we Trust

Tangu lini haya yakawa ya kweli?
 
Ccm watu ninaoweza kuwaombea labda Mzee Warioba na Butiku ndio wazee ambao uzalendo wao hautiliwi shaka

WAZEE WENYE BUSARA CCM HAKUNA TENA!!! WAJUMBE WA KAMATI KUU ENZI HIZO WAKINA RAJAB DIWANI, BUDODI, KAAYA NA MWANGOKA ;HAWA NDIO WALIKUWA NA BUSARA KWANI WALIKUWA HAWANA WOGA WA KUMWAMBIA MWALIMU UKWELI!!!
Hawa wa leo wote ni wachumia tumbo, upuuzi unaofanyika ndani ya ccm leo enzi ya hao wazee wangemyang'anya funguo za ofisi ya chama Magufuli!!! Leo hii nani anathubutu kumpinga Magufuli kwenye vikao? Walimshuku Mzee mmoja mjunbe wa NEC kuwa angeleta hoja tofauti kwenye NEC matokeo yake wakamzuia kuingia kwenye kikao alichokuwa mjumbe ambacho kilifanyika IKULU!!!
 
Mkuu ukinielewa huwezi kuwa na mashaka na mimi kwa kutumia hilo neno, naamini tupo pamoja nawe kimawazo
Kiongozi una haki yakusema/kutenda yale unayoona ni sawa kwako. Hapo nimeiondoa nafsi yangu katika hicho kipengele cha kuchota busara na si kwa ubaya.

In God we Trust
 
Malipo ni hapa hapa duniani na uzi huu umekusudia kuweka hilo wazi
Kweli karma IPO na inafanya kazi, huyu mzee alimrubuni Kagenzi dereva wa Dr slaa ili amwekee sumu, nadhani mnakumbuka kilichotokea

In God we Trust
 
Back
Top Bottom