Dar Pekee waliokufa ni zaidi ya elfu 10!!

Naandika huu ujumbe kwa uchungu mkubwa sana[emoji24]

Natamani hata nitoke nje nitangazie dunia nzima inielewe!!

Nimedokezwa kuwa Muhimbili pekee kulikua na maiti zaidi 5600 za watu waliopigwa Risasi siku za tarehe 29 na tarehe 30

Hapo bado sijapata taarifa za Mloganzila,Amana, Temeke, mwananyamala na hosptali ya Wilaya ya Ubungo!!

Kuna dada mmoja ni ndugu yangu anafanya kazi pale aisee hali ni mbaya unaambiwa mpaka sasa maiti zilizoorodheshwa ni zaidi ya 5800 hapo ni Muhimbili tu[emoji24]

Sijui hosptali nyingine hali ipoje, bado sijasemea mikoani[emoji24]

Huenda tukawa na idadi ya watu hata elfu 20 hivi huko Mbeya kuna kijiji cha mpakani huko wameuliwa watu zaidi ya 200 hadi wananchi wengine wamekimbilia nchi jirani

Hali ni mbaya sana, tuna kila sababu ya kupaza sauti, huu ni zaidi ya ukatili haya ni mauaji ya kimbari aiseee[emoji24]
Kikwete na Samia, Mungu yupo
 
Hizo maito 5000+ muhimbili zimewekwa sehemu gani?..maana idadi hiyo ni sawa na wanafunzi wa Azania,jangwani,tambaza,Ben mkapa+
Walipelekwa kiwanda Cha twiga kuharibiwa. Uongozi gani huu umejengwa juu ya damu za watu
Screenshot_20251104-122436~2.png
 
Naandika huu ujumbe kwa uchungu mkubwa sana[emoji24]

Natamani hata nitoke nje nitangazie dunia nzima inielewe!!

Nimedokezwa kuwa Muhimbili pekee kulikua na maiti zaidi 5600 za watu waliopigwa Risasi siku za tarehe 29 na tarehe 30

Hapo bado sijapata taarifa za Mloganzila,Amana, Temeke, mwananyamala na hosptali ya Wilaya ya Ubungo!!

Kuna dada mmoja ni ndugu yangu anafanya kazi pale aisee hali ni mbaya unaambiwa mpaka sasa maiti zilizoorodheshwa ni zaidi ya 5800 hapo ni Muhimbili tu[emoji24]

Sijui hosptali nyingine hali ipoje, bado sijasemea mikoani[emoji24]

Huenda tukawa na idadi ya watu hata elfu 20 hivi huko Mbeya kuna kijiji cha mpakani huko wameuliwa watu zaidi ya 200 hadi wananchi wengine wamekimbilia nchi jirani

Hali ni mbaya sana, tuna kila sababu ya kupaza sauti, huu ni zaidi ya ukatili haya ni mauaji ya kimbari aiseee[emoji24]
Changamoto zaidi ni kuwa hata waliobebwa na polisi wakiwa hai, sasa hivi miili yao inaokotwa.
 
Nyumbu huwa akili zenu hamna matumizi nazo mnategemea akili za Mangekimambi na Maria sarungi hizo maiti 5800 zilikaa sehemu gani hapo Muhimbili?
 
Umeshapata kitimoto Sasa unahara tu
 
Naandika huu ujumbe kwa uchungu mkubwa sana[emoji24]

Natamani hata nitoke nje nitangazie dunia nzima inielewe!!

Nimedokezwa kuwa Muhimbili pekee kulikua na maiti zaidi 5600 za watu waliopigwa Risasi siku za tarehe 29 na tarehe 30

Hapo bado sijapata taarifa za Mloganzila,Amana, Temeke, mwananyamala na hosptali ya Wilaya ya Ubungo!!

Kuna dada mmoja ni ndugu yangu anafanya kazi pale aisee hali ni mbaya unaambiwa mpaka sasa maiti zilizoorodheshwa ni zaidi ya 5600 hapo ni Muhimbili tu[emoji24]

Sijui hosptali nyingine hali ipoje, bado sijasemea mikoani[emoji24]

Huenda tukawa na idadi ya watu hata elfu 20 hivi huko Mbeya kuna kijiji cha mpakani huko wameuliwa watu zaidi ya 200 hadi wananchi wengine wamekimbilia nchi jirani

Hali ni mbaya sana, tuna kila sababu ya kupaza sauti, huu ni zaidi ya ukatili haya ni mauaji ya kimbari aiseee[emoji24]
Sasa kama mbeya pamenishangaza sana kwanza kuwa na mauaji vijijin kulikon,yaan vijiji vilkuwa vimetulia mara ghafla wakatokea wauwaji tena ni wanajeshi eti wanatafuta waliopiga kura
 
Acha umalaya kaa utulie huko, humu unafuata nn wakati chawa wakati mliambiwa msitumie Mitandao iliyofungiwa?, alafu janaume zina unajiitaje Mama kama sio dalili za kichoko
Tatizo nikisema tuonane uso kwa uso nje ya JF utakimbia. Jifariji kwa matusi hapa JF keyboard warrior
 
Sasa kama mbeya pamenishangaza sana kwanza kuwa na mauaji vijijin kulikon,yaan vijiji vilkuwa vimetulia mara ghafla wakatokea wauwaji tena ni wanajeshi eti wanatafuta waliopiga kura
Hasa boda watanzania wengi wamekimbilia malawi hasa wa kiume nasikia maiti zingine walikuwa wanatupa mto kiwira
 
Currently baada ya Polisisiem kushikwa pabaya na raia 😂😂😂
 
Acha uzushi

Usisahau kuleta takwimu za mali zilizoharibiwa na hao vibaka ambao walikufa..

Siku mkifa kwa sababu ya maandamano, mje hapa tuungane kulia na kuidhabu serikali.

Lakini kwa sasa msituunganishe na ujambazi wenu huo mlifanya kwa kimvuli cha maandamano.
 
Back
Top Bottom