🙆♀️Watanganyika tumekwisha
🙆♀️Watanganyika tumekwisha
mtazilipa hizi damu kwa vyovyote vile ni swala la muda tuAcha uzushi.
Huo muda utafika lini mkuu?mtazilipa hizi damu kwa vyovyote vile ni swala la muda tu
Tulia wewe takatakaAcha uzushi
Usisahau kuleta takwimu za mali zilizoharibiwa na hao vibaka ambao walikufa..
Siku mkifa kwa sababu ya maandamano, mje hapa tuungane kulia na kuidhabu serikali.
Lakini kwa sasa msituunganishe na ujambazi wenu huo mlifanya kwa kimvuli cha maandamano.
tatizo kubwa sana kuwapa madaraka makubwa wenye akil ndogoWashenzi sana wanaomtetea huyo mama
Ili usiwe takataka jitokeze tarehe 09 dec, angalau uvunjwe mguu ili tuone ujasiri wakoTulia wewe takataka