Dar: Panya Road wajeruhi 19, Mtongani - Kunduchi

Naona Hawa Panya Road ni Vyema Serikali pamoja na wananchi wake washirikiane kwa pamoja kuwadhibiti, yaani wakiwapata ni Vyema wapigwe mashine/Gun wafe kabisa ili wasilete vizazi vya hovyo huku mtaani, Mda mwingine inatakiwa kuleta maamuzi magum ili mambo yakae kwenye mstari.
Plan ya kuwadhibiti inahitajika na wakipatikana ni kuwaua tu hamna negotiation.
 
Hahaa sio ujinga mkuu otherwise uwe huwajui panya road hiki ndio kizazi kitakachokuja kuikomboa Tanzania ni kizazi chenye uthubutu ambacho kwa sasa kinatest mitambo tu.

Kwa ufupi hawa ni watoto wetu wenyewe hata mwanao anaweza kua humo watoto hawa wanatumia bangi na vilevi kama double kick wakipata vitu vyao hakuna wanachoogopa hata kuua

Wana kua na viongozi wao na wana serikali zao za mtaa ukisikia serikali ya kigogo serikali ya Gongo la Mboto serikal ya Buza oooooos nakuaminia mwamba sasa hizo serikali zinakua na viongoz wao wakitaka kufanya tukio kila kiongozi wa serikali analeta vijana wake kumi au 20 wakua si chini ya hamsini kwa misheni moja wakiwa na dhana mbali mbali kasoro bunduki na tukio linafanywa kwa muda mchache sana ndani ya nusu saa wanapotea kizazi chetu sisi 1960_1980 kinaogopa kupasuka na tuna majukumu mengi wao hawana kitanda hawana nyumba hawana familia furaha yao ni huo ubabe
Sasa watu wanaotumia double kik na ganja ndio watakuja kuikomboa nchi au kuiingiza gizani?
 
Nadhani ni upungufu wa nguvu mwilini... kama hawazuiliki kwanini hawavamii mitaa ya wakurya kule
 
Kama vijana Hawa wadogo wavuta bangi tu wanasumbua mkoa was dar nashindwa kuelewa utendaji wa vyombo vya usalama nchini yaani mkuu wa majeshi yupo huko dar, mkuu wa polisi yupo huko dar, TISS wapo huko dar (makao makuu)

Mkuu wa mkoa upo hapo na wewe ndo mwenyekiti was usalama was mkoa wakuu was wilaya wapo hapo nao wametulia tu aisee Kuna wakati ni Kama vichekesho
Nyinyi mnafanya Nini kwenye hizo ofisi ?

viongozi wote wakubwa kuhusu ulinzi wanapenda kukaa dar ila wanakuja Hawa wavuta bangi wanafanya mji usiwe unalalika na hakuna kinacho tokea

Shame on you simion sirro, shame on you mabeyo, shame on you wote wenye mamlaka dar na haya matoto mavuta bangi wakiendelea kusumbua na nyinyi mpo tu

Yaani tuseme Kila mtaa was hapo dar mmeshindwa kuwatambua Hawa vijana ?

Mbona mnafanya sisi wa huku mikoani tuone nyinyi watu w dar mmezubaa Sana ?

Kwamba watendaji wa kata, wenyeviti, majirani, wazazi/walezi kweli mmeshindwa kuwatambua hao vijana ?

Mbona Kama hiki ni kituko tu kwamba hamwajui ?

Mimi nadhani makundi niliyoyataja hapo juu lazima mnawajua Hawa vijana

Sasa inakuaje mnashindwa kuwachukulia hatua ?

Au tuseme mnawaogopa ?

Endeleeni kukaa hivyo hivyo siku watakuja kuwabaka wake zenu nanyi mtakua mnashuhudia
Tatizo la watu wa Dar ni kukosa umoja ndio maana panya road wanapeta, watu wa mikoani wana umoja na wanapenda kusaidiana wao kwa wao.

Kichekesho kipo kwa hao watu wa Dar yaani hawasalimiani kabisa na wengi wao wana roho za korosho. Acha panya road wakusanye mapato ya watu laini 😂
 
Sasa watu wanaotumia double kik na ganja ndio watakuja kuikomboa nchi au kuiingiza gizani?
Yaah ili nch ikomboke lazima watu wakubal kukimbia juu ya mait za mwenzao huku wanaimba kama unavyoona misri ba tunisia lazima watu wasiogope wasipoogopa bas jesh litaua mpaka litaogopa hawa watoto sio waoga kama sisi baba zao maana sisi kila mtu anaogopa kupasuka kaz kukaa kwenye simu na kufurumusha matusi kwa serikal huku tukitumia id fake kizaz cha tano na cha sita ndio kitalikomboa taifa hili panyaroad ni kizaz cha nne watoto wao ndio watamaliza kaz kizaz cha kwanza kina kingunge na kina nyerere cha pili kikwete maguful mkapacha tatu nape makamba makonda sabaya cha nne nondo shaka na cha tano ni hiko cha panyaroad
 
Siku hizi mmoja kati yao hakosi gun yani ukijichanganya na kipanga chako utastukia tu mwili wa baridi
Kuwadhibit wananch muunganishe mob na mkikamata mmoja choma moto rekod video watumien hapo ndio wanakuwaga wadogo
 
Kama vijana Hawa wadogo wavuta bangi tu wanasumbua mkoa was dar nashindwa kuelewa utendaji wa vyombo vya usalama nchini yaani mkuu wa majeshi yupo huko dar, mkuu wa polisi yupo huko dar, TISS wapo huko dar (makao makuu)

Mkuu wa mkoa upo hapo na wewe ndo mwenyekiti was usalama was mkoa wakuu was wilaya wapo hapo nao wametulia tu aisee Kuna wakati ni Kama vichekesho
Nyinyi mnafanya Nini kwenye hizo ofisi ?

viongozi wote wakubwa kuhusu ulinzi wanapenda kukaa dar ila wanakuja Hawa wavuta bangi wanafanya mji usiwe unalalika na hakuna kinacho tokea

Shame on you simion sirro, shame on you mabeyo, shame on you wote wenye mamlaka dar na haya matoto mavuta bangi wakiendelea kusumbua na nyinyi mpo tu

Yaani tuseme Kila mtaa was hapo dar mmeshindwa kuwatambua Hawa vijana ?

Mbona mnafanya sisi wa huku mikoani tuone nyinyi watu w dar mmezubaa Sana ?

Kwamba watendaji wa kata, wenyeviti, majirani, wazazi/walezi kweli mmeshindwa kuwatambua hao vijana ?

Mbona Kama hiki ni kituko tu kwamba hamwajui ?

Mimi nadhani makundi niliyoyataja hapo juu lazima mnawajua Hawa vijana

Sasa inakuaje mnashindwa kuwachukulia hatua ?

Au tuseme mnawaogopa ?

Endeleeni kukaa hivyo hivyo siku watakuja kuwabaka wake zenu nanyi mtakua mnashuhudia
Acheni kuwachosha polisi kwa vitu vya kipumbavu. Hivi hao watoto si wapo mitaani kwetu? Kama wapo 50 wanakosekana vijana 50 wakuwadhibiti hao watoto?
Mbona kwenye maandamano mnajitia mashujaa?

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom