Dar: Panya Road wajeruhi 19, Mtongani - Kunduchi

Nasikia wanaume wa Dar laini kama kigoli. Hata hao ulio wataja hapo juu waoga kinoma. Wanaujasiri kwenye maiki, mbele ya kamera. Nasikia ukienda Dar unaweza tobolewa macho na vibaka mbele ya kituo cha polisi. Mimi bilisha achana na mawazo ya kwenda Dar!

Dar sio sehemu salama kuishi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama vijana Hawa wadogo wavuta bangi tu wanasumbua mkoa was dar nashindwa kuelewa utendaji wa vyombo vya usalama nchini yaani mkuu wa majeshi yupo huko dar, mkuu wa polisi yupo huko dar, TISS wapo huko dar (makao makuu)

Mkuu wa mkoa upo hapo na wewe ndo mwenyekiti was usalama was mkoa wakuu was wilaya wapo hapo nao wametulia tu aisee Kuna wakati ni Kama vichekesho
Nyinyi mnafanya Nini kwenye hizo ofisi ?

viongozi wote wakubwa kuhusu ulinzi wanapenda kukaa dar ila wanakuja Hawa wavuta bangi wanafanya mji usiwe unalalika na hakuna kinacho tokea

Shame on you simion sirro, shame on you mabeyo, shame on you wote wenye mamlaka dar na haya matoto mavuta bangi wakiendelea kusumbua na nyinyi mpo tu

Yaani tuseme Kila mtaa was hapo dar mmeshindwa kuwatambua Hawa vijana ?

Mbona mnafanya sisi wa huku mikoani tuone nyinyi watu w dar mmezubaa Sana ?

Kwamba watendaji wa kata, wenyeviti, majirani, wazazi/walezi kweli mmeshindwa kuwatambua hao vijana ?

Mbona Kama hiki ni kituko tu kwamba hamwajui ?

Mimi nadhani makundi niliyoyataja hapo juu lazima mnawajua Hawa vijana

Sasa inakuaje mnashindwa kuwachukulia hatua ?

Au tuseme mnawaogopa ?

Endeleeni kukaa hivyo hivyo siku watakuja kuwabaka wake zenu nanyi mtakua mnashuhudia

Igp and muliro are rubbishes in the police force, they have no tangible plan to eliminate these thugs, yapoyapo yanapenga mikamasi
 
Tatizo ni mipango miji
Mitaa ingekuwa imepangwa kama Masaki,Oysterbay,Mbezi beach,Mikocheni panya road anaanzia wapi kuingia.?
Hili la makazi holela baada ya miaka 20 litakuwa limefika hatua mbaya makundi makubwa ya uhalifu magenge yenye silaha yatajitokeza na kuishi hii mitaa maana njia hazipitiki kwa magari hivyo hata dolia za polisi ni hamna.!
Wito wangu Serikali ianze kupima makazi bado hatujachelewa sana.!
 
Hao wapumbavu akikamatwa hata mmoja, inabidi awe mfano kwa wengine wanaozingua...

Huwezi kuwa unavamia watu na kujeruhi hovyo...
 
Tatizo ni mipango miji
Mitaa ingekuwa imepangwa kama Masaki,Oysterbay,Mbezi beach,Mikocheni panya road anaanzia wapi kuingia.?
Hili la makazi holela baada ya miaka 20 litakuwa limefika hatua mbaya makundi makubwa ya uhalifu magenge yenye silaha yatajitokeza na kuishi hii mitaa maana njia hazipitiki kwa magari hivyo hata dolia za polisi ni hamna.!
Wito wangu Serikali ianze kupima makazi bado hatujachelewa sana.!
Kwahiyo akili yako inakutuma jiji kama Johannesburg halijapangwa?
 
Hahaa sio ujinga mkuu otherwise uwe huwajui panya road hiki ndio kizazi kitakachokuja kuikomboa Tanzania ni kizazi chenye uthubutu ambacho kwa sasa kinatest mitambo tu.

Kwa ufupi hawa ni watoto wetu wenyewe hata mwanao anaweza kua humo watoto hawa wanatumia bangi na vilevi kama double kick wakipata vitu vyao hakuna wanachoogopa hata kuua

Wana kua na viongozi wao na wana serikali zao za mtaa ukisikia serikali ya kigogo serikali ya Gongo la Mboto serikal ya Buza oooooos nakuaminia mwamba sasa hizo serikali zinakua na viongoz wao wakitaka kufanya tukio kila kiongozi wa serikali analeta vijana wake kumi au 20 wakua si chini ya hamsini kwa misheni moja wakiwa na dhana mbali mbali kasoro bunduki na tukio linafanywa kwa muda mchache sana ndani ya nusu saa wanapotea kizazi chetu sisi 1960_1980 kinaogopa kupasuka na tuna majukumu mengi wao hawana kitanda hawana nyumba hawana familia furaha yao ni huo ubabe
Panya rodi wakitumika vizuri wanawezasaidia kupatikana kwa katiba mpya
 
Yaah ili nch ikomboke lazima watu wakubal kukimbia juu ya mait za mwenzao huku wanaimba kama unavyoona misri ba tunisia lazima watu wasiogope wasipoogopa bas jesh litaua mpaka litaogopa hawa watoto sio waoga kama sisi baba zao maana sisi kila mtu anaogopa kupasuka kaz kukaa kwenye simu na kufurumusha matusi kwa serikal huku tukitumia id fake kizaz cha tano na cha sita ndio kitalikomboa taifa hili panyaroad ni kizaz cha nne watoto wao ndio watamaliza kaz kizaz cha kwanza kina kingunge na kina nyerere cha pili kikwete maguful mkapacha tatu nape makamba makonda sabaya cha nne nondo shaka na cha tano ni hiko cha panyaroad

Sirro kama upo humu au kama utapita hapa JF kama guest. Unaweza kuanza na huyu. Seems anafurahia sana vitendo vya Panya Road na pengine anawafahamu ni akina nani.

Yaani wenzako wamejeruhiwa huko, wengine walikuwa wanategemewa na familia zao kwa sasa hawawezi kufanya shughuli zao alafu wewe unatetea?

Tukombolewe kutoka kwenye nini?

Yaani uchunguzi uanzie hapa kwakweli. Polisi Tanzania chondechonde msimuache huyu.
 
Acheni kuwachosha polisi kwa vitu vya kipumbavu. Hivi hao watoto si wapo mitaani kwetu? Kama wapo 50 wanakosekana vijana 50 wakuwadhibiti hao watoto?
Mbona kwenye maandamano mnajitia mashujaa?

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app

Ni KAZI ya Polisi kulinda watu na mali zao. Sasa unaposhangaa watu wakiita, polisi kwenye masuala kama haya Tunakuwa hatukuelewi.

Yaani sasa hivi raia wakianza kujichukulia sheria mkononi, hii itakuwa ni nchi au ni failed state? Kazi ya Polisi itakuwa ni nini?

Yaani mtu Civics ya darasa la tatu tu inakushinda?

SMH
 
Sasa wewe subili hilo geshi mpaka uke kubakwa wewe na mkeo ndio akili zitakurudia.

Ukraine wananchi wameshika silaha kujilinda, sasa ingekuwa ndio watu wa type yako sijui ingekuwaje?

Yaani unafananisha Ukraine na hawa Panya Road?

Na je polisi wamekwambia kwamba hii kazi wameishindwa?

Acha ujinga!
 
Tukiruhusu Panya Road kila mtaa, hakutakuwa na maana ya kwenda kazini asubuhi na kurudi jioni, usiku. Kwenda kwenye starehe yoyote, kufungua duka, kuwa na vitu vya dhamani..

Ukiungana Panya Road utawapora wengine wote, mnawavizia mtaani kuwakata mapanga, wafanyakazi wafanyabiashara wote.

Ukiwa PR utapata Milioni siku moja. Kwanini wote tusiwe nchi ya Panya Road?
 
Ni KAZI ya Polisi kulinda watu na mali zao. Sasa unaposhangaa watu wakiita, polisi kwenye masuala kama haya Tunakuwa hatukuelewi.

Yaani sasa hivi raia wakianza kujichukulia sheria mkononi, hii itakuwa ni nchi au ni failed state? Kazi ya Polisi itakuwa ni nini?

Yaani mtu Civics ya darasa la tatu tu inakushinda?

SMH
Jambazi akiingia ndani kwako, uwezo wakumdhibiti unao,utamdhibiti au utapiga simu polisi waje kwani ni kazi yao!?

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Hahaa sio ujinga mkuu otherwise uwe huwajui panya road hiki ndio kizazi kitakachokuja kuikomboa Tanzania ni kizazi chenye uthubutu ambacho kwa sasa kinatest mitambo tu.

Kwa ufupi hawa ni watoto wetu wenyewe hata mwanao anaweza kua humo watoto hawa wanatumia bangi na vilevi kama double kick wakipata vitu vyao hakuna wanachoogopa hata kuua

Wana kua na viongozi wao na wana serikali zao za mtaa ukisikia serikali ya kigogo serikali ya Gongo la Mboto serikal ya Buza oooooos nakuaminia mwamba sasa hizo serikali zinakua na viongoz wao wakitaka kufanya tukio kila kiongozi wa serikali analeta vijana wake kumi au 20 wakua si chini ya hamsini kwa misheni moja wakiwa na dhana mbali mbali kasoro bunduki na tukio linafanywa kwa muda mchache sana ndani ya nusu saa wanapotea kizazi chetu sisi 1960_1980 kinaogopa kupasuka na tuna majukumu mengi wao hawana kitanda hawana nyumba hawana familia furaha yao ni huo ubabe
Ni ujinga tu kuwalea hao watoto. Haya mambo wala hayahusianai na kizazi kinachoogopa wala kizazi jasiri. Ni mambo ambayo huwa yanaibuka katika jamii kutokana na sababu mchanganyiko za kijamii, kiuchumi na hata kisaikolojia (mob and/or peer psychology). Hali hii ni moja ya matatizo yanayoweza kujitokeza hasa katika miji (Social problems of urbanisation). Na hii ni duniani kote. Kusipokuwa na jitihada za kuwadhibiti linaweza kuwani tatizo kubwa kijamii kwani mkiwachekea ndo wanashamiri. Hata enzi ya hicho kizazi cha 1960-1980 unachokisema kinaogopa kulikuwa na Komandoo Yosso ambao walisumbua sana Dar es Salaam na pia walifikia hatua ya kusambaa na kuwa na matawi katika maeneo ya mikoa mingine mbalimbali hapa nchini. Ukiacha Yosso pia kulikuwa na ujambazi mkubwa na walikuwepo hata majambazi waliokuwa wanatumia fatuma (jiwe kubwa) kufumua ( maana siyo kubomoa) mlango wa aina yeyote ile.
 
Sirro kama upo humu au kama utapita hapa JF kama guest. Unaweza kuanza na huyu. Seems anafurahia sana vitendo vya Panya Road na pengine anawafahamu ni akina nani.

Yaani wenzako wamejeruhiwa huko, wengine walikuwa wanategemewa na familia zao kwa sasa hawawezi kufanya shughuli zao alafu wewe unatetea?

Tukombolewe kutoka kwenye nini?

Yaani uchunguzi uanzie hapa kwakweli. Polisi Tanzania chondechonde msimuache huyu.
Hahaa kwan panya road we huwajui hilo jina mmewapa nyiny ila wao hata hawajiiti panya road wao ni watoto wetu usikute hata wanao wapo kuwajua ni simple tu wawatumie wajumbe wa mtaan wanawajua vizur tunawajua sema wanafanya yote bila ushaid wa moja kwa moja hata ukimpeleka mahakama unashindwa kumfunga pata picha yule shoga anaefanya ushoga ukimpeleka mahakaman bila kumshika red handed atakushinda tu same to panya road ukimkamata hata kwenye tukio anaweza kukushinda na kujitetea mimi ni raia nineona panyaroad wanamapanga nikaamua kukimbia polis wakanikimbiza nakunikamata simple solution kipind cha maguful ilikua hiv wakuu wa polis walitoa ruksa isiyo rasm kua ukiamkata panya road kwenye tukio ueni tutawalinda mlioua hatutofanyauchunguz tukimkamata kama hajafanya tukio tutamshikilia jerakwa kumfanyia kama mbowe kumpotezea muda hata miaka mitano kwa kuumpapanya road huyo chakula kidogo kama adhab il asife hii ilisaidia sana
 
Back
Top Bottom