Dar: Panya Road wajeruhi 19, Mtongani - Kunduchi

Hahaa kwan panya road we huwajui hilo jina mmewapa nyiny ila wao hata hawajiiti panya road wao ni watoto wetu usikute hata wanao wapo kuwajua ni simple tu wawatumie wajumbe wa mtaan wanawajua vizur tunawajua sema wanafanya yote bila ushaid wa moja kwa moja hata ukimpeleka mahakama unashindwa kumfunga pata picha yule shoga anaefanya ushoga ukimpeleka mahakaman bila kumshika red handed atakushinda tu same to panya road ukimkamata hata kwenye tukio anaweza kukushinda na kujitetea mimi ni raia nineona panyaroad wanamapanga nikaamua kukimbia polis wakanikimbiza nakunikamata simple solution kipind cha maguful ilikua hiv wakuu wa polis walitoa ruksa isiyo rasm kua ukiamkata panya road kwenye tukio ueni tutawalinda mlioua hatutofanyauchunguz tukimkamata kama hajafanya tukio tutamshikilia jerakwa kumfanyia kama mbowe kumpotezea muda hata miaka mitano kwa kuumpapanya road huyo chakula kidogo kama adhab il asife hii ilisaidia sana

Hawa na wauza unga, huwezi kucheka nao eti haki za binadamu, vipi kuhusu haki za wanaokatwa mapanga.

Kama polisi wameshindwa kazi zao. Kila mtu mtaa, kata iruhusiwe kumiliki silaha na moto, kivita. Kuajili Sungusungu kutoka Mara, mikoani au kuajiri jeshi lake la kujilinda, kujihami.
 
Hawa na wauza unga, huwezi kucheka nao eti haki za binadamu, vipi kuhusu haki za wanaokatwa mapanga.

Kama polisi wameshindwa kazi zao. Kila mtu mtaa, kata iruhusiwe kumiliki silaha na moto, kivita. Kuajili Sungusungu kutoka Mara, mikoani au kuajiri jeshi lake la kujilinda, kujihami.
Ata hao panya road watakua na silaha kama hivyo

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Hahaa sio ujinga mkuu otherwise uwe huwajui panya road hiki ndio kizazi kitakachokuja kuikomboa Tanzania ni kizazi chenye uthubutu ambacho kwa sasa kinatest mitambo tu.

Kwa ufupi hawa ni watoto wetu wenyewe hata mwanao anaweza kua humo watoto hawa wanatumia bangi na vilevi kama double kick wakipata vitu vyao hakuna wanachoogopa hata kuua

Wana kua na viongozi wao na wana serikali zao za mtaa ukisikia serikali ya kigogo serikali ya Gongo la Mboto serikal ya Buza oooooos nakuaminia mwamba sasa hizo serikali zinakua na viongoz wao wakitaka kufanya tukio kila kiongozi wa serikali analeta vijana wake kumi au 20 wakua si chini ya hamsini kwa misheni moja wakiwa na dhana mbali mbali kasoro bunduki na tukio linafanywa kwa muda mchache sana ndani ya nusu saa wanapotea kizazi chetu sisi 1960_1980 kinaogopa kupasuka na tuna majukumu mengi wao hawana kitanda hawana nyumba hawana familia furaha yao ni huo ubabe
Tena magroup yao yako huko FB,
Wamevurugwa hatareee lol.
 
Angalia uhalifu mwingi unatokea wapi.!
Hizo sehemu unazotolea mifano wewe labda usichokijuwa hawategemei ulinzi wa Polisi, wana ulinzi binafsi wa camera, mbwa wa ulinzi na kampuni binafsi za security, hakuna wa kutia puwa huko.

Hata uswahilini maeneo ambayo raia wameamuwa kujilinda wenyewe kwa vikundi vya sungusungu hukuti huu upumbavu wa panya road.
 
Back
Top Bottom