Dar: Ofisi ya Mawakili ya Prime Attorney advocate zilizopo upanga, imevamiwa na Watu Wasiojulikana

Yeah, AICC to Mt.Meru.
Ila wameambiwa kwa tarehe hiyo kuna mpangaji labda kama wangesogeza mbele,kwa mujibu wa mwananchi

May Allah bless Me and You
 
Huyo wakili anatunza fedha kwenye kabati la ofisini kwake?

Wahshi kabisa yaani!!

Halafu ni watu wasiojulikana kivipi?

Toka lini wezi wakawa wanajulikana?

Manake isije tu kuwa ni wezi wa kawaida lakini nyie mnataka kuwahusisha na CCM...
Mkuu, ni kwanini unahisi watu wanawahusisha hao wezi na fisiem? Mbona mtoa post ameongea neutral sana? Basi ushatupatia majibu
 
Asante baba jeska , ni wa kukuna wanaowashwa

Kweli safari hii watanzania tutakoma kuringa.

Tuipende nchi yetu Tanzania.
 
Huyo wakili anatunza fedha kwenye kabati la ofisini kwake?

Wahshi kabisa yaani!!

Halafu ni watu wasiojulikana kivipi?

Toka lini wezi wakawa wanajulikana?

Manake isije tu kuwa ni wezi wa kawaida lakini nyie mnataka kuwahusisha na CCM...
Nyani sometime jiongeze, kwenye masuala ya usimamizi wa fedha ni jambo la kawaida kuwa na kabati la fedha aka au safe au cash box, cha ajabu nini hapo? halafu kama watu hawajulikani we ulitaka iripotiwe vipi? wanajulikana?
 
Hivi Manji account zake za Bongo ziko frozen, if yes then inawezekana anatunza hela huko kwa wakili wake kwenye Safe kwa pesa anazochukua from his overseas accounts. Hana access na bank hivyo wapigaji yawezekana walinusa kuwa Safe ina mpunga wa kutosha.
 
Huyo wakili anatunza fedha kwenye kabati la ofisini kwake?

Wahshi kabisa yaani!!

Halafu ni watu wasiojulikana kivipi?

Toka lini wezi wakawa wanajulikana?

Manake isije tu kuwa ni wezi wa kawaida lakini nyie mnataka kuwahusisha na CCM...

Umeharakisha sana hiyo conclussion yako. BTW unataka hata perty cash ikae benki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…