cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,801
[HASHTAG]#watuwasiojulikana[/HASHTAG]
Yeah, AICC to Mt.Meru.Mtamkumbuka Mh Lisu namna ambayo alilisimamia suala la kulipuliwa kwa ofisi za IMMA Advocates. Sasa tuwasubiri wale mawakili waliokataa kushiriki ule mgomo watasemaje. Labda wawe upande wa watekaji, vinginevyo lazima na wao wajiandae kunyolewa! By the way nasikia wamenyimwa ukumbi kwa ajili ya mkutano wa mawakili huko Arusha.
Ametolea mfano kua petty cash zinawezakua hata 100M kwakutegemeana na daily operations,usifikie conclusion kua zilikua 100M.Petty cash ndo nini? Milioni 100 ni petty cash?
Kama wamekomba kiasi hicho basi ntafurahi saaaaaaaaana.
Mkuu, ni kwanini unahisi watu wanawahusisha hao wezi na fisiem? Mbona mtoa post ameongea neutral sana? Basi ushatupatia majibuHuyo wakili anatunza fedha kwenye kabati la ofisini kwake?
Wahshi kabisa yaani!!
Halafu ni watu wasiojulikana kivipi?
Toka lini wezi wakawa wanajulikana?
Manake isije tu kuwa ni wezi wa kawaida lakini nyie mnataka kuwahusisha na CCM...
Ametolea mfano kua petty cash zinawezakua hata 100M kwakutegemeana na daily operations,usifikie conclusion kua zilikua 100M.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili shimo wanalochimba tutakuja shindwa rudi nyumaHaya Magenge tunayopandikiza kuna siku yatakuja kuwageuka tu, take my word.
Kwani ajabu yake nini? Mtu anaenunua mazao kwa wakulima cash unadhani petty cash inatakiwa kuwa kama hela unayomwachiaga mkeo ya kununulia vitunguu?Milioni 100 ni petty cash?
Pia ni changamoto lakini sio kama kabatiniKudukua je?
May Allah bless Me and You
Wapi CCM imetajwa au umeanza kuwashwawashwa na pilipili usoila
Kama zenji ya karume.Mawakili awamu hii wamekua maadui.Napendekeza serikali ifute kazi hiyo watuhumiwa wajitetee wenyewe
Njia zote zina faida na hasaraPia ni changamoto lakini sio kama kabatini
Nyani sometime jiongeze, kwenye masuala ya usimamizi wa fedha ni jambo la kawaida kuwa na kabati la fedha aka au safe au cash box, cha ajabu nini hapo? halafu kama watu hawajulikani we ulitaka iripotiwe vipi? wanajulikana?Huyo wakili anatunza fedha kwenye kabati la ofisini kwake?
Wahshi kabisa yaani!!
Halafu ni watu wasiojulikana kivipi?
Toka lini wezi wakawa wanajulikana?
Manake isije tu kuwa ni wezi wa kawaida lakini nyie mnataka kuwahusisha na CCM...
umeambiwa watu wasiojulikana wewe unasema ni CCM.Braza unaugua kichocho nini?Manake isije tu kuwa ni wezi wa kawaida lakini nyie mnataka kuwahusisha na CCM..
Jinsi lilivo zito wamelibebaje?
Huyo wakili anatunza fedha kwenye kabati la ofisini kwake?
Wahshi kabisa yaani!!
Halafu ni watu wasiojulikana kivipi?
Toka lini wezi wakawa wanajulikana?
Manake isije tu kuwa ni wezi wa kawaida lakini nyie mnataka kuwahusisha na CCM...