Dar: Ofisi ya Mawakili ya Prime Attorney advocate zilizopo upanga, imevamiwa na Watu Wasiojulikana

Huyo wakili anatunza fedha kwenye kabati la ofisini kwake?

Wahshi kabisa yaani!!

Halafu ni watu wasiojulikana kivipi?

Toka lini wezi wakawa wanajulikana?

Manake isije tu kuwa ni wezi wa kawaida lakini nyie mnataka kuwahusisha na CCM...
Mkuu, kwani watu wasiojulikana ni CCM? we ndo unaanza kuwatuhumu

Huyo wakili anatunza fedha kwenye kabati la ofisini kwake?

Wahshi kabisa yaani!!

Halafu ni watu wasiojulikana kivipi?

Toka lini wezi wakawa wanajulikana?

Manake isije tu kuwa ni wezi wa kawaida lakini nyie mnataka kuwahusisha na CCM...
Nani kawahusisha na CCM mbona mko desperate namna hiyo.

[quote uid=188 name="Nyani Ngabu" post=23387134]Huyo wakili anatunza fedha kwenye kabati la ofisini kwake?

Wahshi kabisa yaani!!

Halafu ni watu wasiojulikana kivipi?

Toka lini wezi wakawa wanajulikana?

Manake isije tu kuwa ni wezi wa kawaida lakini nyie mnataka kuwahusisha na CCM...[/QUOTE]
So wew unataka kutuaminisha ccm n watu wasiojulikana MBNA una wataja ccm apo

Kitu ambacho kipo wazi ni kwamba huyu mzee ni adui wa utawala wa sheria. Ni mpenzi wa utawala wa kiimla. Hataki kabisa utawala wa katiba, sheria, haki, utu, demikrasia na usawa. Mtakumbuka alisema na kuagiza kuwa mawakili wanaowatetea watuhumiwa wa uhalifu nao wakamatwe na kuwekwa ndani.

Huyo wakili anatunza fedha kwenye kabati la ofisini kwake?

Wahshi kabisa yaani!!

Halafu ni watu wasiojulikana kivipi?

Toka lini wezi wakawa wanajulikana?

Manake isije tu kuwa ni wezi wa kawaida lakini nyie mnataka kuwahusisha na CCM...
Nyani Ngabu unawashwa? Ameshakwambie watu wasiojulika, wewe unauliza toka lini wezi wakajulika, ulitaka aseme wezi wasiojulikana?. Halafu kwa taarifa yako sio wezi wote hawajulikani kaka, kila kukicha si mnawatangaza wezi wa madini yetu kwa majina na kampuni zao?

Ingekuwa ni nchi za wazungu Waziri wa ulinzi na usalama angejiuzulu, Mwigulu anajitahidi ila kuna kundi la watu wanao mdissapoint kwenye majukumu yake......

Na wanayo yafanya sijui ni kwa faida ya nani.... Badala ya kupambana na kukuza uchumi mnapambana na vitu vya kijinga...

Huyo wakili anatunza fedha kwenye kabati la ofisini kwake?

Wahshi kabisa yaani!!

Halafu ni watu wasiojulikana kivipi?

Toka lini wezi wakawa wanajulikana?

Manake isije tu kuwa ni wezi wa kawaida lakini nyie mnataka kuwahusisha na CCM...

Mkuu naona karibu utahamia upande wetu.Baada ya Imma,Lissu,baada ya Lissu wakili wa Manji,baada ya hapo sijui ni nani anafuatia.Anyway Mawakili waliogoma kugoma siku zile mbili watamkumbuka Lissu leo.

Siku hizi kunakucha na sinema mpya..
Dah acha tu,serikali imeona mawakili kupambana na watu wanojulikana haitashinda kesi mbalimbali.sasa mawakili wataanza kukabiliana na watu wasiojulikana sijui kama watatoboa aisehh,wajipange

Back
Top Bottom