Dar: Ofisi ya Mawakili ya Prime Attorney advocate zilizopo upanga, imevamiwa na Watu Wasiojulikana

Huyo wakili anatunza fedha kwenye kabati la ofisini kwake?

Wahshi kabisa yaani!!

Halafu ni watu wasiojulikana kivipi?

Toka lini wezi wakawa wanajulikana?

Manake isije tu kuwa ni wezi wa kawaida lakini nyie mnataka kuwahusisha na CCM...
Kwann hilo neno WASIOJULIKANA umehusianisha na CCM...?? Je, kuna uhusiano wowote??? Au wasiojulikana huwa ni ccm..??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo wakili anatunza fedha kwenye kabati la ofisini kwake?

Wahshi kabisa yaani!!

Halafu ni watu wasiojulikana kivipi?

Toka lini wezi wakawa wanajulikana?

Manake isije tu kuwa ni wezi wa kawaida lakini nyie mnataka kuwahusisha na CCM...
Kabati la kutunzia nyaraka na fedha (kswahili kidogo kimeleta ukakasi ila nadhani alimaanisha hilo dude kwenye picha safe box)
safe box.jpg
 
Mawakili awamu hii wamekua maadui.Napendekeza serikali ifute kazi hiyo watuhumiwa wajitetee wenyewe
Hiyo ni HAKI YA KIKATIBA.
Ukitaka waondoe hiko kifungu,wakumbushe kuondoa na cha KINGA YA RAIS KUTOSHTAKIWA

May Allah bless Me and You
 
Kama taifa tulipofikia Ni pabaya,matukio kila siku majib hakuna!
Ni panzuri tu. Maana hatutaki kushirikiana zaidi zaidi tinaendekeza politics kwenye kila kitu. Siku tutakapozinduka tutakuja kukuta tumeumizwa vya kutosha. Yameisha mauaji ya Kibiti sasa wamekuja na staili ya kuvamia watu au taasisi zenye mgongano na serikali.
 
Back
Top Bottom