Dar: Ofisi ya Mawakili ya Prime Attorney advocate zilizopo upanga, imevamiwa na Watu Wasiojulikana

Huyo wakili anatunza fedha kwenye kabati la ofisini kwake? Wahshi kabisa yaani!! Halafu ni watu wasiojulikana kivipi? Toka lini wezi wakawa wanajulikana? Manake isije tu kuwa ni wezi wa kawaida lakini nyie mnataka kuwahusisha na CCM...
Kwa sasa hata gari ikipata pancha wewe sema watu wasiojulikana wameipa tairi pancha, hata hela zikipotea home dai watu wasiojulikana, chochote kile kwenye maisha yako kikivurugika, laumu watu wasiojulikana!
 
Wana JF,
Kuna watu WASIOJULIKANA kwenye keyboard hapa mtandaoni na kazi yao ni kupotosha kila kitu kwa malengo maalumu.
GT hawezi kuwaza vitu vya kipuuzi kama hivi kwamba huyu Wakili wa Manji alikuwa anatunza fedha nyingi kwenye Kabati la Nyarka za ofisi. Haiwezekani.

Ukiunganisha Kesi ya Manji na Wakili wake ukamwingiza na BASHITE ambaye ndiye chanzo cha kesi ya Manji ndiyo unaweza kupata picha kamili ya kwanini watu WASIOJULIKANA wamevunja ofisi za Wakiliwa Manji.....!!!!.
 
Huyo wakili anatunza fedha kwenye kabati la ofisini kwake?

Wahshi kabisa yaani!!

Halafu ni watu wasiojulikana kivipi?

Toka lini wezi wakawa wanajulikana?

Manake isije tu kuwa ni wezi wa kawaida lakini nyie mnataka kuwahusisha na CCM...
Mbona umekimbilia kuwashuku ccm badala ya CUF au ATC?

Mr. PRESIDENT WHERE IS MY NOAH BEFORE I GOT 10 SHOTS.
 
Huyo wakili anatunza fedha kwenye kabati la ofisini kwake?

Wahshi kabisa yaani!!

Halafu ni watu wasiojulikana kivipi?

Toka lini wezi wakawa wanajulikana?

Manake isije tu kuwa ni wezi wa kawaida lakini nyie mnataka kuwahusisha na CCM...
Mkuu ni wewe au hii account ya Ngabu ipo hijacked. Your comments are so fragile nowadays.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani shida yao ilikuwa documents ila huwezi vunja safe kirahisi inabidi wapeleke kwenye sehemu nyeti hivyo pesa nadhani ni just kiduchu. Hao wasiojulikana wanatupeleka kubaya.
kabisa ni kusubiri uchunguzi
 
Huyo wakili anatunza fedha kwenye kabati la ofisini kwake?

Wahshi kabisa yaani!!

Halafu ni watu wasiojulikana kivipi?

Toka lini wezi wakawa wanajulikana?

Manake isije tu kuwa ni wezi wa kawaida lakini nyie mnataka kuwahusisha na CCM...
kwani kuna sehemu wametaja ccm hapo chief.!!?
 
Huyo wakili anatunza fedha kwenye kabati la ofisini kwake?
Wahshi kabisa yaani!!
Halafu ni watu wasiojulikana kivipi?
Toka lini wezi wakawa wanajulikana?

Manake isije tu kuwa ni wezi wa kawaida lakini nyie mnataka kuwahusisha na CCM...
Unauliza na Kujijibu mwenyewe,
 
Kwanini wakili mzima anaweka fedha nyingi kwenye kabati.. Jinga kabisa, hivi hii akili au matope? Tokea lini mwizi akajulikana? Kwnn asiweke fedha bank? Na lazima hizo fedha zitakuwa nyingi sana kapewa na Manji kwa ajili ya kesi..
Nawaza may be.. Au labda wakili kamgeuka Manji na kupanga dili ili amuibie hizo fedha ili isemekane watu wasiojulikana wamevunja ofisi?.. Sbb naamini zitakuwa fedha nyingii sana.. Maana hili litakuwa dili kabisa..

Dunia hii jamani.. Haaaa wee mapesa unaweka kabatini?

* Hapa Kazi Tu*

Wameweka pesa kiasi gani?
 
  • Thanks
Reactions: bht
Back
Top Bottom