dar ni noma

dar ni noma

Elijah

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
1,663
Reaction score
424
kuna jamaa alitoka sumbawanga akaja dar kuroga.
akafika PPF tower,akawa amesimama mble ya jengo mahali penye mlango wa lift,mara wakaingia watu watatu,msichan mmoja na wanaume wawili,baada ya dk tano,wakatoka kwenye lift wazungu watatu,na akaingia mama mmoja,baada ya dakika tatu,wakatoka watu sita,.dah,jamaa akafungahsa virago,akasema mimi ni mchawi,lakini dar ni mwisho
 
tehe tehe tehe tehe. Wakati anaondoka akapita kwenye sanamu la bismin akanyoosha mikono huku anatetemeka usiniue afande mie nshaacha uchawi
 
uchawi ni sehemu ya utamaduni wa mwafrika sasa sijui kwanini hapendi kuonyesha na kuutangaza kimataifa?
 
Back
Top Bottom