Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,620
- 5,653
Njoo Mbezi. Nenda Basihaya.. Pita Oystabey.. Nyoosha hadi Kigamboni mbona hayo maeneo mazuri tuu... Vipi pale Chuga mashine ya unga?
Sio kote mkuu, Osterbay line za police zile pako hovyo tu.Njoo Mbezi. Nenda Basihaya.. Pita Oystabey.. Nyoosha hadi Kigamboni mbona hayo maeneo mazuri tuu... Vipi pale Chuga mashine ya unga?
maji ya uhai lita na nusu jero duu nimeshangaa sana chuga maji nusu lita 600Niko Aru...lakini siwezi pinga hoja yako maana hizo sehemu ulizotaja sijawai fika, misele yangu napigia Town, moshono, Njiro nikienda mbali ni USA- momela na Sakina kiasi
Kila jiji / Mkoa kuna sehemu zake nzuri na mbovu, ila maisha ya dar ni rahisi na yenye kuboa wakati wote ubishe ukubali
ila dar kweli wamezidi uchafu jana mimi nilikua mtaa wa congo kuna maji yamesambaa barabara nzima yamejaa kinyesi watu ni unapita mishe zinaendelea kama kiatu ni kifupi unavua unakanyaga kwa raha zako afu kwenye mbu jomba uko sawa me nipo tabata lakin sa mbili ujifanye unaangalia habari labda ukae na net. chuga hakunaga mbu kabisaaNimecheka kama kichaaeti miji mitakatifumalalamiko haya ni kiboko yaani nimecheka hadi majirani nadhani wamesikia
Ndio maana Magu kaona akaijenge Dodoma, haiwezekani nchi iwe dependant kwa jiji moja tu. Leo hii likitokea tatizo kubwa Dar ambalo likasitisha shughuli za uzalishaji na biashara basi nchi haitaenda. Kama over 75% ya revenue inatoka Dar tu, usitegeme kabisa miji mingine kufanya vizuri.Ukweli mtupu tatizo dar ndo kilakitu Tanzania yani kila mwananchi anawish kuingia dar iwe kutembea au biashara ni wakati wakuijenga miji mingine ..
mkuu una uhakika gani hii picha haijapigwa mafisa morogoroHivi ndivyo Dsm ilivyo kwa sehemu kubwa, leave away pollution, traffic jam n the like, huu ni muonekano tu
View attachment 1600572
Hapana, hapa ni Dsmmkuu una uhakika gani hii picha haijapigwa mafisa morogoro
Kila mwananchi?Ukweli mtupu tatizo dar ndo kilakitu Tanzania yani kila mwananchi anawish kuingia dar iwe kutembea au biashara ni wakati wakuijenga miji mingine ..
Ni kweli kabisa lkn hakuna mji unaokosa makazi duni... Hata England. USA.Macao kote baadhi ya maeneo yana hali duni..Sio kote mkuu, Osterbay line za police zile pako hovyo tu.
ila dar kweli wamezidi uchafu jana mimi nilikua mtaa wa congo kuna maji yamesambaa barabara nzima yamejaa kinyesi watu ni unapita mishe zinaendelea kama kiatu ni kifupi unavua unakanyaga kwa raha zako afu kwenye mbu jomba uko sawa me nipo tabata lakin sa mbili ujifanye unaangalia habari labda ukae na net. chuga hakunaga mbu kabisaa
HahahahaSaizi wako wanaogelea kwenye mafuriko,hovyo kabisa