Dar Ndio Imekuwa hatari hivi?

Usingepost picha nisingeelewa ulichomaanisha..pole sana
 
Pole sana mkuu eneo la mataa ya kuelekea veta keko na kuelekea uwanja wa karume hadi kwenye mataa ya kamata sio salama.
Ukiwa na gari pandisha vioo watoto wa laana wengi sana siku moja kuna jamaa kaacha gari lake kioo wazi wakam mwagia mikojo kwenye gari
 
Sorry for the ordeal. Next time make sure windows are closed and doors locked, In case riding in a car.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…